Mnaohubiri stand ya Mbezi mnaboa

Mnaohubiri stand ya Mbezi mnaboa

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,091
Reaction score
2,295
Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
 
Na Habari njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa duniani pote...., maadamu umesikia walichohubiri huna udhuru siku ile utakapo simama mbele ya kiti cha haki.
 
Vipi, ungependa nikusindikizie na kale kakibwagizo kenu ka "Takbiiiiiir"

Binafsi na nyinyi huwa mnanikwaza sana na vile vipaza sauti vyenu. Yaani ni makelele tu usiku kucha. Mbaya zaidi hata mnacho kisema huwa sikielewi. Sijui huwa mnalala na kufanya kazi saa ngapi nyinyi viumbe.
Umepanick Tate Mkuu futa hiyo comment yko
 
Na Habari njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa duniani pote...., maadamu umesikia walichohubiri huna udhuru siku ile utakapo simama mbele ya kiti cha haki.
Acha upumbavu wew hiyo habar njema unaka kufananisha na hizi takataka wanazopiga kelele hawa matapeli wakilokole mitaani?.

Kwanza wao wenyewe maisha yamewashinda wameamua kutumia biblia kutapel na kueneza uongo sas bado kuna watu mnaamin upuuz
 
Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.

Wewe Usiwape sadaka ila waache wanaowapa wawape
 
Na Habari njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa duniani pote...., maadamu umesikia walichohubiri huna udhuru siku ile utakapo simama mbele ya kiti cha haki.
Vipi ww,utakua na udhuru?
 
Na Habari njema ya ufalme wa Mungu itahubiriwa duniani pote...., maadamu umesikia walichohubiri huna udhuru siku ile utakapo simama mbele ya kiti cha haki.
Ulishaenda mbezi luis ukawaskia? Wanahubiri injili? Kama hujafika pale uliza
 
Na sio wanaomba sadaka,wanang'ang'aniza kabisa,na ni kila siku tena bila aibu. Wale ni ombaomba sio wahubiri
 
Back
Top Bottom