Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 944
- 1,257
Wewe kuwadi wa Makamba Jr a.k.a The Pimp at workDikteta Hana la kukumbukwa zaidi ya watu kupotezwa wakati wake

Dai katiba Ili ikupunguziemaumivu ya kufiwa na mungu wenu kichaaHayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.

Mungu ibariki Tanzania.stupid wala hakuna zaid cvha kuona s sana mtazidi kuua watu
kafie kaburini na jiwe wako pumbavuHayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Vipi anatarajia kufufuka mwehu Meko??Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Yaani akifufuka ataelekea nyumbani kwake pale Chato bila protokali zozote?Wewe jamaa ni mpuuzi sana.
Kwani Magu ni nani nchi hii ??
Alikuwa Rais na ameshasepa.
Kwani Magu ni nani hasa.
Mnamwona Samia ni mstaarabu ameamua kukaa kimya, wakubwa kufichiana aibu harabu mnaona kama vile huyo kibewngo alikuwa special case.
Kwa kukusaidia tu, nchi hii ukishakuwa Rais ni FINAL. Kama vile ambavyo alikuwa FINAL wakati ni Rais ndivyo Samia alivyo FINAL sasa hivi.
Hata akifufuka huyo kibwengo sasa hivi ingawa hawezi, atakuwa kawaida tu kwasababu HATAKUWA RAIS.
Kwahiyo nyie misukule yake zoeeni maisha.
Mlidhani COVID-19 inaoogopa RISASI.
Akifufuka atakuwa kama Mwinyi tu.Yaani akifufuka ataelekea nyumbani kwake pale Chato bila protokali zozote?
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Nani anamuongelea Magufuli? Ni kama mnaweweseka, hamuamini kuwa ameenda milele, ndo maana mnakurupuka na malalamiko kuhusu tatizo lisilokuwepo. Watu pekee mnaomkumbuka ni nyie. He's gone. Forever!Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu atasema kweli Magufuli alikuwa nabii.
Ukiwa kiongozi hutopendwa na watu wote na hasa kiti alikalia Hayati Magufuli. Wengi hawakupenda ila wachache walisena awe Rais hata kwa mwaka mmoja Mungu akampa miaka sita. Mungu alimpa Magufuli nafasi kulitawala taifa hili kama alivyo wanyima nafasi watu wengi kulitawala taifa hili.
Jitihada zakumuona Magufuli alikuwa sio kiongozi mzuri ni jitihada za wanadam. Ila Mungu amemaliza kazi na Magufuli ole kwa walio baki.
Mimi natabiri wengi wao hawatokikalia hiko kiti nawaona wanajitahidi sana kuwa underground wakidhani watakalia kiti nawaapia Rais ajaye hakuna anaye mjuwa japo wachache wanamdhania.
Nikiongozi alie na moyo uliopondeka hana makuu wala wengi hawamdhanii na hao vijana watazima wakidhani watakuwa marais wa Taifa hili mbona watoto wa Nyerere wametulia why vijana ambao hata hawapo kwenye List wanasumbuwa?
Fungueni macho na muone jitihada zenu zitakutana na shimo refu nakamwe hamtotoka salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Nani anamuongelea Magufuli? Ni kama mnaweweseka, hamuamini kuwa ameenda milele, ndo maana mnakurupuka na malalamiko kuhusu tatizo lisilokuwepo. Watu pekee mnaomkumbuka ni nyie. He's gone. Forever!
Kama Alijiuwa au kupotea alifanya hivyo mwenyewe hakusoma alama za nyakati na hata sisi tulio ona alama za nyakati hakutusikiliza akakutana na aliyo kutana nayo. Nikama nilivyo tabiri kwa akina Ndugai na wengine wengi je nahusika kivipi? Nivile tunapasa kusamehe ila angalia aina ya mtu unaye mwambia yale unamwambia..... End.Hadi leo hujawahi kujibu aliyekutuma kumwua Beni Sanane.
Kama Alijiuwa au kupotea alifanya hivyo mwenyewe hakusoma alama za nyakati na hata sisi tulio ona alama za nyakati hakutusikiliza akakutana na aliyo kutana nayo. Nikama nilivyo tabiri kwa akina Ndugai na wengine wengi je nahusika kivipi? Nivile tunapasa kusamehe ila angalia aina ya mtu unaye mwambia yale unamwambia..... End.
Acha kuandika uongo.Mama ndo anaongoza hizo juhudi za kumfifisha Magufuli, pia anatoa room kwa wanaokejeli. Ila mpaka sasa amekikalia kiti!
Watakufa kabla ya 2025Mungu yupo watu walioshiriki kumuua Rais wetu siku zao zinahesabika, bado tunaumia sana.
Yaani uliposoma hapo akili ika_stuck haikutaka kuweka dhamira ya uchambuzi but kubeba neno as neno lilivyo, ndipo hapo ulipochemka.Nimeishia kusoma ulipoandika (Magufuli atafufuka) siwezi jichosha kuendelea kusoma ujinga ulioandika huko chini.
Acha kuandika uongo.
Huko kusema ni Magu alikuwa anakwamisha hakusema yeye ila umeamua tu kumlisha maneno kwa sababu unazozijua wewe.Sio yeye aliyesema chama kimerudi kwa wenyewe? (Make chama kiliporwa na Magu)
Sio yeye aliyesema anafungua nchi? ( Make Magu alikuwa ameifunga)
Sio yeye aliyeruhusu chanjo? (Make Magu alitaka kutuua)
Sio yeye aliyesema madini tuwape watu wachimbe maana hatuyali ? ( Maana yake alizuia kitu kisicho na faida)...
N.k.