Mnaoagiza magari mmesikia hili

Mnaoagiza magari mmesikia hili

Hivi Zimbabwe sahv bado sheria yao ukitoka na gari kutokea dizonga ukipita hapo lazima uipakie kwenye lodder ipo bado au wameiondoa

Ova
Kwa gari za Japan ambazo zipo transit unapakia ila kama inaingia kwao unalipia kodi sema kutoka Durban bei inakua kubwa ndio maana Wazimbabwe wanakuja kupokea kupitia Daslm.
 
Nimeleta Ford hapo ya 2020 ina miaka kadhaa ila nilitaka kupata la 2024 au 2025 biturbo ni nyepesi sana sema wahuni kodi yao wanaweza kuondoka na roho ya mtu..
Huku tunabamizana sana
Zamani kulikuwaga na mchongo
Mmoja hivi wa kuingiza magari unaingilia malawi sema sahv michongo hakuna

Ova
 
Huku tunabamizana sana
Zamani kulikuwaga na mchongo
Mmoja hivi wa kuingiza magari unaingilia malawi sema sahv michongo hakuna

Ova
Michongo itakua bado ipo kwa wahuni mazee Tanzania inakufa kwa sababu ya kodi kubwa kwenye magari harafu tupo busy tunatengeneza bara bara kwa ajili ya kupitisha magari ya Transit ya wageni huku raia wakijificha kwenye viaist na passo kutwa kuulizana hii gari ni nzuri kwa sababu gari zinazoagizwa ni chakavu kwa sababu ya miaka ya karibuni kodi imesimama.
 
Inaonekana ukiwa na gari kupata juliana a.k.a ukimwi ni rahisi sana au sio!....
Naona wawekezaji wa ki Asia macho yanawatoka..ndio mama huyo tunae na tunatamba nae mpaka 2035.
mwisho ni 2030
 
Yaani kodi ya gari ni 100% ya bei yake, hapo bado kuna vijikodi uchwara, then unaongeza tena na tozo 😂

Tuna endesha gari mbovu kwasababu ya kodi zao za kikum*, I can’t imagine, yaani nchi ni yangu lakin naishi kwa shida kama mhamiaji haramu.

Sasa ni bora hizo tozo basi zifike hata kwa walengwa, ila nazo zitapigwa juu kwa juu na masela nondo😂

Dah! hata cjui nilikuwa nataka kusema nin😁
 
Inaonekana kodi huko ni changamoto wameweka kodi mpya usd 90 kwa Pax mmoja anaeingia Tanzania nimeona Airlink wakiwatangazia wateja wao kwa email kuhusu hiyo kodi mpya Tanzania aisee na inaandikwa todauti na nauli ya kuja Daslm au Zanzibar wanasema wanavunja rekodi ila kila kukicha kodi mpya na kero kwa wageni zinaongeza gharama kwa abiria tu.
 
Umalaya wafanye wengine mzigo tubebeshwe wengine. Hivi mtu na akili zako unatoka kwako asubuhi unakwenda kwenye ofisi ya serikali unaweka matako yako magumu kama nyani,unakaa na wapuuzi wenzako mnakuja na kodi maalumu kwaajiri ya kuchangia manunuzi ya dawa za ukimwi? KWELI KUMMMKE?🤔

Hivi raia tumeshindwa kabisa kumalizana vibaya na hawa wapumbavu?🤔
Umeongea kwa uchungu sana 😹😹
 
Na wao wapunguze anasa kwa kodi zetu.

Hadi manaibu waziri wana misafara yenye ving'ora, wanasababisha foleni kiholela tu.
 
Kwanini kuanzisha kodi mpya na si kucut cost mahali? Ukubwa wa serikali, Matumizi ya anasa ya serikali? Tunalipa indirect tax ngapi nchi hii wataalamu mtusaidie.
 
Kodi ya MAPUMBU ipo njiani, lakini ni kwa wale wenye MAPUMBU MAWILI, Ukiwa na PUMBU MOJA, haina haja ya kulipa Kodi ya Mapumbu,
DHUMUNI/SABABU ya KODI YA MAPUMBU ni kutokana na Global Warming, Msuguano wa MAPUMBU MAWILI unachangia Kwa kiasi kikubwa Kwenye Global Warming.......

Wadau kaeni tayali
 
Kodi ya MAPUMBU ipo njiani, lakini ni kwa wale wenye MAPUMBU MAWILI, Ukiwa na PUMBU MOJA, haina haja ya kulipa Kodi ya Mapumbu,
DHUMUNI/SABABU ya KODI YA MAPUMBU ni kutokana na Global Warming, Msuguano wa MAPUMBU MAWILI unachangia Kwa kiasi kikubwa Kwenye Global Warming.......

Wadau kaeni tayali
😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom