Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,425
- 17,739
Pale watu wanapokosa mbinu kabisa za kuchangisha hela kwa kujikimu
Eti Ukimwi
Kuna nchi nne jirani wanatengeneza madawa ya ARV wenyewe na wanajitambua
Sisi tunashindwaje kutengeneza?
Basi waige hata Zimbabwe au Namibia kutengeneza
Hakuna think tank huko ?
Hapa Khan amepita kwa kishindo muhula wa 3 kama Mayor wa jiji
Anakusanya £445m kwa mwaka kwa congestion charge pamoja na Ulez (ultra low emission zone)
Ukiingia tu jijini lazima ulipie
Ukija bongo sasa eti mtu ndio kwanza anakuja na kigari tayari ana mlolongo wa kodi
khan destroys london …