Nisamehe bure! Sitarudia tena, nimekosa mimi, nimekosa mimi ... (Ndugai). Ila ni uungwana kuweka rekodi sahihi, nenda .... Hapa JF kuna mtu unaweza mfikiria hivi kumbe huko mtaani kwenye uhalisia ni tofauti sana. Ndio chanzo cha kukimbianaNaandika nafuta naandika nafuta..!
Nisiseme sana jua tu Nakuheshimu sana we mzee futa huo utumbo uloandika please!
Mpaka hapo Mkuu Mahondaw utakuwa umenisamehe.