Simuelewi elewi Boflo !!
Kwani huyu jamaa ni nani? af we Boflo umeanza mambo yako ya ajabu ajabu sasa
njoo upanga east..... au nipe msn messenger yako nitakuwekea webcam...utaniona live
Hizi ni athari za kukaa sana pwani.Boflo.! duh inaelekea huo mkate bado unaliwa sana bongo.
afu CarthbertL haka kamsemo
"Mtoto anaweza kuchezea mayonyo ya mama lakini siyo korodani za baba"
umekatoa wapi manake nimecheka peke yangu.!