Mnakumbuka Enzi hizo?????

Hahahahahahahahahahaha
umenikumbusha mbali sizitaki mbichi hizi.
 
platozoom unakumbuka enzi hzo pale sabasaba shule ya msingi tulikuwa tunakalia mawe na vipande vya magogo? unakuta mtu anapanga mawe kama mafiga matatu afu anaweka jiwe bapa juu yake. weee ole wako ukakie!
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi umenikumbusha mbaali kweli. hivi vitabu havipo siku hizi. unakumbuka hadithi za sisimizi amuua tembo, siku ya gulio katerero na jogoo wa ajabu?
 
Last edited by a moderator:
Dena Amsi umenikumbusha mbaali kweli. hivi vitabu havipo siku hizi. unakumbuka hadithi za sisimizi amuua tembo, siku ya gulio katerero na jogoo wa ajabu?

Charminglady acha tu yaani watoto wetu wanakosa uhondo.............

Hiyo bluu hiyo acha kabisa navikumbuka mwaya
 
hiyo topic ya pazi anatesa kuku, ilinifanya niwaogope kuku hasa jogoo, niliamini ipo day nami nitaning'inizwa kweli! dah utoto vile tulivyokuwa tunaviwaza ni siri zetu
 
hiyo topic ya pazi anatesa kuku, ilinifanya niwaogope kuku hasa jogoo, niliamini ipo day nami nitaning'inizwa kweli! dah utoto vile tulivyokuwa tunaviwaza ni siri zetu

Mimi mpaka leo naogopa Kuku mbaya mbovu siwezi kumkaribia kabisa wala si jogoo peke yake tu hata jike siwezi
 
fikiri na sikiri, mandawa na manenge! hahahhahaha hadithi ya bulicheka nilikuwa nikisimuliwa na baba, naimagine kabisa kuwa kuna watu wanakaa juu na yule mfalme hui hui je??
 
fikiri na sikiri, mandawa na manenge! hahahhahaha hadithi ya bulicheka nilikuwa nikisimuliwa na baba, naimagine kabisa kuwa kuna watu wanakaa juu na yule mfalme hui hui je??
cacico umenikumbusha mbali sana hiyo bluu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…