Mnakula malaya halafu mnajisifu mmekula kimasihara!

Mnakula malaya halafu mnajisifu mmekula kimasihara!

Ndo nawe usingezaliwa asingekojolewa mazeri
[emoji8]
Nikija hapo Mbalizi itabidi nikutafute[emoji23][emoji23]
Lakini hiyo uliyoisema ndio KANUNI ya msingi ili binadamu azaliwe.

Swali la kujiuliza ilikuwa kimasikhara au walinitafuta kwa kukukusudia?

Nimefurahi kubadilisha a mawazo na wewe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hizo akili unazo?
Aisee! Kweli jamiiforum sio ile tuliokuwa tunaiperuzi kipindi kile.

Yani unataka tubishane tu na hakuna point unayoitoa kwenye hayo majibishano.
 
Mwache ajiachie,ulivyoanzisha Uzi ulitakaje?
Nimekupenda bure.

Kimasikhara ipo, kwa sababu binadamu ni viumbe vyenye hisia na sio kila anayekula au kuliwa kimasikhara ni malaya.

Wengine upwiru umewazidia au nyege zimewashinda.

Kuvutiwa na mtu na ndio imetokea

Shambulizi la kushtukiza
 
Mwache ajiachie,ulivyoanzisha Uzi ulitakaje?
Sikutunga uzi ili nipate wachangiaji Vilaza na wasiokuwa na Point kwenye wanachokiongea.

Kama mtu huwezi kuchangia kitu ni vyema ukakiacha kuliko kujibu Upumbavu.

Kuna dogo hapo juu kasema wanawake wote ni Malaya. Unadhani ni sahihi?

Mipaka na heshima inabidi iwepo hata kama kuna uhuru.
 
Skills za kutongoza tumebaki nazo wachache waache wandelee kula hizo testless vulva
 
Sikutunga uzi ili nipate wachangiaji Vilaza na wasiokuwa na Point kwenye wanachokiongea.

Kama mtu huwezi kuchangia kitu ni vyema ukakiacha kuliko kujibu Upumbavu.

Kuna dogo hapo juu kasema wanawake wote ni Malaya. Unadhani ni sahihi?

Mipaka na heshima inabidi iwepo hata kama kuna uhuru.
Sawasawa
 
Aisee! Kweli jamiiforum sio ile tuliokuwa tunaiperuzi kipindi kile.

Yani unataka tubishane tu na hakuna point unayoitoa kwenye hayo majibishano.
Umejiunga jamii forum 2018
Jamii forum ipi hiyo unayoizungumzia maana Mimi nipo humu toka 2012/2013 kwa akaunti tofauti tofauti.

Mimi sijaona facts ulizotoa zaidi ya kuahambulia waliwa kimasikhara.

Njoo na intellectual issue tutaijibu with the same frequency na ukija na utopolo tutakujibu at your level.
 
Wanawake wote hawawezi kuwa Malaya.
Sema wanawake wengi ni malaya. Hapo utakuwa right.

Ni sawa useme Wanaume wote wanatamaa na kuchepuka. Hiyo ni wrong
Nimemjibu hivyohivyo Mkuu.

Hii dunia kuna sampuli ya kila watu, kuna wanaojiheshimu na wasiojiheshimu.

Kuna watu malaya na wasio malaya.

Kwahyo Watu waache kuwajumuisha wasiohusika. TUNATOFAUTIANA
 
Sikutunga uzi ili nipate wachangiaji Vilaza na wasiokuwa na Point kwenye wanachokiongea.

Kama mtu huwezi kuchangia kitu ni vyema ukakiacha kuliko kujibu Upumbavu.

Kuna dogo hapo juu kasema wanawake wote ni Malaya. Unadhani ni sahihi?

Mipaka na heshima inabidi iwepo hata kama kuna uhuru.
Kuna utafiti uliowahi kufanywa kupinga hoja ya jamaa?

Kila kitu kina price yake, issue unaweza kuifikia?
 
Mtu kuwa mama au dada si kigezo cha kukwepa uhalisia wa kuitwa Malaya.
Na malaya pia ni dada, shangazi, mama wadogo, bibi wa watu wengine.

Ukimsoma huko juu ni kama alikuwa anataka ambane mchangia mada kwa hisia binafsi.

Mkuu upo hadi huku! Najua wewe ni mkali wa kuwafumbua macho Matheist
 
Nimekupenda bure.

Kimasikhara ipo, kwa sababu binadamu ni viumbe vyenye hisia na sio kila anayekula au kuliwa kimasikhara ni malaya.

Wengine upwiru umewazidia au nyege zimewashinda.

Kuvutiwa na mtu na ndio imetokea

Shambulizi la kushtukiza
Huo ndio umalaya sasa!

Kuna vitu unapaswa uviepuke kwa gharama yoyote ile kwenye haya maisha.

Kwa mfano.
Usiibe hata kama una njaa kiasi gani. Fanya kazi ili ule. Usipofanya kazi na ukaiba basi wewe ni Mwizi tu.

MWIZI NI MWIZI, MALAYA NI MALAYA TU!

USITAFUTE SABABU KUTETEA UMALAYA WAKO KWA KIGEZO CHOCHOTE KILE.
 
Habari zenu Wakuu,

Kuna kauzi kana trend hapa JF kanaitwa 'Kula tunda kimasihara', kiukweli ukikapitia kale kauzi utaona ni jinsi gani vijana wanavyojisifu kula wanawake malaya ambao wameshazoea kutoa k zao kwa kila mwanaume.

Kuna vijana wengine walinyonya mpaka sehemu za nyuma za hao malaya na wanajiona walipata bahati, kumbe walikutana na wanawake malaya ambao kutoa toa kwa kila mwanaume kwao ni kawaida.

Ukipitia ule uzi kuna vijana wengine wapumbavu zaidi wamekula hao wanawake malaya bila ya kupima wala kutumia kinga na wanajisifu na kujiona wameyapatia.

USHAURI: Vijana acheni kujisifia kula malaya, maana hakuna mwanaume mwenye akili timamu ambae anaweza kujisifu kula malaya hadharani.

NB: Malaya hajali wewe kula K yake, kwahiyo jiepushe na magonjwa kwa kutaka sifa za kipumbavu mtandaoni.
Hahahahahahaha
 
Huo ndio umalaya sasa!

Kuna vitu unapaswa uviepuke kwa gharama yoyote ile kwenye haya maisha.

Kwa mfano.
Usiibe hata kama una njaa kiasi gani. Fanya kazi ili ule. Usipofanya kazi na ukaiba basi wewe ni Mwizi tu.

MWIZI NI MWIZI, MALAYA NI MALAYA TU!

USITAFUTE SABABU KUTETEA UMALAYA WAKO KWA KIGEZO CHOCHOTE KILE.
Swali la msingi, je wote wanaoliwa kimasikhara ni malaya?

Umalaya ni nini!?

Malaya ni nani?

Naomba majibu mkuu
 
Umejiunga jamii forum 2018
Jamii forum ipi hiyo unayoizungumzia maana Mimi nipo humu toka 2012/2013 kwa akaunti tofauti tofauti.

Mimi sijaona facts ulizotoa zaidi ya kuahambulia waliwa kimasikhara.

Njoo na intellectual issue tutaijibu with the same frequency na ukija na utopolo tutakujibu at your level.
Ndio maana nilisema wewe ni mjuaji lakini kichwani ni mweupe (Hauna Maarifa kabisa).

Mimi nina ID zaidi ya moja, na zingine zina miaka mingi sana.

Kuwa na heshima na acha ujuaji Dogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom