Mnakula malaya halafu mnajisifu mmekula kimasihara!

Mnakula malaya halafu mnajisifu mmekula kimasihara!

Umekisoma ulichokijibu lakini au umekosea post ya kuijibu? Nilichokiandika na ulichojibu ni tofauti kama mhogo na chenza.
Nlikosea kuandika,

Nlimaanisha hao unaosema wenye heshima ambao walikuja kukufanyia kitu mbaya walikua malaya waliojificha tu...

Mwanamke mwenye heshima atakupiga tukio ikiwa wewe ndio umempa sababu ya kufanya hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom