MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,319
- 13,532
Bado hujasema na utasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nikasema wewe ni mjuaji lakini kichwani ni MWEUPE. PEEE!
Unataka ni-Define umalaya kwa staili ya kutoa hela sio?
Umalaya sio lazima kutoa hela Dogo, kuna malaya wanatoka nje ya ndoa zako kwasababu ya tamaa tu.
MALAYA HAWANA SABABU MAALUMU KUFANYA UMALAYA WAO.
1) Umalaya ni nini?
2) Malaya ni nani?
3) Tabia za malaya?
3) Changudoa ni nani
4) Kahaba
5) Shangingi
6) Kirukamito