Mnakula malaya halafu mnajisifu mmekula kimasihara!

Mnakula malaya halafu mnajisifu mmekula kimasihara!

Binafsi naamini ktk interest.. na sio kimasihara.

Watu wanakula watu ambao ukute walishakuwa na interest juu yao, wao ndo wanakuja kujigamba wamekula kimasihara
Utoto ndio unawasumbua Mkuu, ila wakijitafakari naamini wataona hakuna cha kujisifia kwenye kula hao malaya wa night stand.
 
Mhhhh mkuu maneno makali sana haya vipi kuhusu mama yako na dada zako nao pia wamalaya
Nilitaka kumuuliza hilo swali Mkuu.

Asante kwa kunisaidia kuniulizia huyo mtu asiekuwa na maarifa.
 
Hata hao ni dada wa wengine
Hata wewe dada yako ni malaya ila wewe hujui tu
Shobo au kitu gani Dogo?

Kama Ukoo wenu uko hivyo basi usiuchanganye na watu wengine.

UNAKERA DOGO.
 
Usiamini kila unachokiona hapa JF

Ukianza kuamini kila unachokisoma hapa na kukifanyia kazi utapote.
Kuamini au kutokuamini ni Uchaguzi wa mtu binafsi. Sio kila linaloandikwa humu ni uongo Mkuu.
 
Acha kujibu maswali ambayo hujaulizwa.

Hii mada ni Kubwa na inapaswa kujibiwa na muhusika.
Hii ni jamii forum sio chumbani forum hivyo jukwaa huru.

Ndio maana mada imewekwa hadharani ilibwatu wachangie hakuna dictator humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom