ZamdaIssa
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 879
- 1,458
Tatizo wengine sisi tulipenda maskini,unamkuta mwanaume boksa zimechanika unazishona kwa mkono maisha yanaenda!!
Tukawasaidia kufikia utajiri,tulichokutana nacho mungu anajua!!tukaishia kuumizwa,kuachwa na kuonekana hatuna mvuto tena!!
Bora tu sasa hivi tuwapende matajiri,tuwachune wapite hivi...
Sent using Jamii Forums mobile app