Hilo ndio tatizo lenu. Status? Status itakulisha,status itakupa kazi? Status italipa kodi?
Status isnot equal to reality.
Niliwahi kuwa na mdada yaan yeye huwa anaangalia nikipata kazi katika kampuni nzur ndio anaanza kuwa karib. Nikienda kampun ya kawaida napotezewa..
Ukiangalia kwao ni makapukuwa kutupwa. Yeye na dada zake wana njaa mpaka kwenye kucha.. tena njaa za waziwaz.. ila wikitok hapo wanataka waonekane wa matawi ya juu..
Huyu nilimtema. Hiv kuna shida gani ukiishi maisha yako ya kihualisia
Sent using
Jamii Forums mobile app