interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Chips nadhani inategemea na lokesheniiiSawa, hiyo elfi hamsini nimetoa kama mfano tu lakini yaweza kuwa chini ya hapo au kuzidi kidogo!
Na hapo jamaa wa chips anakuwa bado hajalipa kodi ya pango ya hapo anapouzia chips umeme n.k!
Najaribu kufikiria kuona sizani kama mkaanga chips anapata faida kubwa kiasi hicho kwa mtizamo wa wengi jinsi ulivyo!
Nimeona nichangie mada kwa kujaribu kuchambua kiundani kidogo !
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Nimeitika
Huyo muuza kachori muache achunwe hadi mfupa, afilisikeeeee ndo akili itamkaa vizuri, coz kuna wanaume wengine wajinga mno, unahonga laki 5 wakati maisha yako ya kuunga unga
Utakuta mdada anakuchuna pesa, hlf hizo hizo hela zako, anaenda kumpa mwanaume mwingine, huyo mwanaume anaepewa hizo hela zako, utakuta ni handsome boy flani..ambae anakula papuchi ya bure, wakati ww unaehonga pesa hujaipata, au unaila kwa tabu kubwa.
Ndo maana nikitongoza mdada hlf akanipiga mzinga naishia kufuta namba yake chap Mzigua90
Wewe hukua kundi la mwanaumr wa maisha Bali alikua anakuchukulia kama sponsor halafu mshamba anaonekana wifi pia anajua ukiwa ofisi Fulani Una hela (kama wanaojua bankers wana hela).
Halafu hata uwe na hela Kama nini kama mwanamke hajataka kutulia na wewe ataruka tu chief. Hao wapika chips unakuta MTU hajampenda ndio maana haoni maana ya kupoteza muda wake na MTU anaehustle. Hawa wenye hela hata ukimlia wakati humpendi roho haiumi wala nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani akibaki na hiyo 50 thou, wewe mwenye mshahara wa 2m utamkuta huyu anaeweka 50 kila siku? Fungwa hivyo hivyo akili na vimikopo vyenu makaziniJe Huyo mkaanga chips hiyo 200,000/- anayoingiza kwa siku moja ni “net amount “?
Au ni ghafi yaani gross amount?
Je hiyo laki mbili ni baada ya kutoa gharama za kununulia mafuta, viazi, makaa/gesi, kumlipa kijana, tomato, n.k.?
Nimeona nitoe angalizo kidogo maana isijekuwa ni gross figure ambapo akitoa gharama zote anabaki na 50,000/- tu
Sent using Jamii Forums mobile app
As long as it takes.
Mmmh kwa kuongeza chumvi tu hamjambo.Sio kila saa ukipiga simu kusalimia.. mtu anaomba hela.. ukipigasimu kumjulia hali.. anaomba hela. Ukipiga sim kusalimia nyumbani. Anaomba hela. Jesus.. !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes that's greatMkuu rushwa tips na zawadi sio mshahara huwezi kufanya budgeti yako kwa kutegemea rushwa utakayo pokea au zawadi.....be serious pls
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh kwa kuongeza chumvi tu hamjambo.
As long as it takes.
Haya nakuja mammyMkaanga chips niko nakusubiri![]()
Kwani akibaki na hiyo 50 thou, wewe mwenye mshahara wa 2m utamkuta huyu anaeweka 50 kila siku? Fungwa hivyo hivyo akili na vimikopo vyenu makazini
Nimekupenda Sky Eclat kwa point hiyoMnapenda wanaume wenye pesa, wawe wasafi, wamiliki magari mazuri. Hiyo hesabu ni kama pyramid walio na vitu hivyo ni wachache sana nao kuna waliowasaidia kufikia hapo hawawezi kuwasahau. Inawezekana ni wazazi, ndugu, au wapenzi na wake zao.
Unampenda bank teller anaepata
750,000. Anakatwa student loan, anakatwa mkopo wa vitz, analipa kodi ya chumba na sebule, hajakula wala hajaweka gari mafuta. Unategemea akupe hela ya saloon, akununulie vocha ya simu na kumbom vi 20,000. Unamuongezea pressure, akikukimbia usitafute mchawi.
Wakati kuna mkaka anakaanga chips na mishkaki, anaingiza laki mbili kwa siku na ana uwezo wa kukupa hayo maisha unayotaka. Humtaki kisa status mjini utawaambia nini mashost eti babe mkaanga chips!
Ndiyo hapo mnapokosea hesabu zenu.