ukisikia bange zimeanzia tumboni ndio hivi! eti huyo kaja kutambulishwa kwako na bintiyo kuwa ndiye mkwe! mnichemshie pipa la mwarobaini nife taratibuuuuuuuuuuu! tufiakwa!
ukisikia bange zimeanzia tumboni ndio hivi! eti huyo kaja kutambulishwa kwako na bintiyo kuwa ndiye mkwe! mnichemshie pipa la mwarobaini nife taratibuuuuuuuuuuu! tufiakwa!
Asikatize mitaa ya Mwananyamala ujiji atalia.
tufiakwa! ni neno la kinigeria, ni fan wa movies zao, so huwa nawasikia wakisema hilo neno kwa kile kitu ambacho wanajiapiza kisijewatokea maishani! ni kama kusema MUNGU apishie mbali! umenipata ndetichia?ndio nini hapo mamshika..
karibu Facilitator, ila pia vya nje humwelezea mtu zaidi yaliyomo ndaniye! ndio maana pia huwa wanasema actions speak louder than words!Uzuri wa mtu rohoni, haya ya nje nakshi tu. Nimependa hapo kwenye red.