min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,626
- 164,913
Hii kitu ya upole kwa mara ya kwanza naisikia kwenu humu jfHakika,hii ni sahihi kabisaš„“
Hii kitu ya upole kwa mara ya kwanza naisikia kwenu humu jfHakika,hii ni sahihi kabisaš„“
Inahuzunisha sana mkuuHii kitu ya upole kwa mara ya kwanza naisikia kwenu humu jf
Ziko poa tu mkuu!Dah mkuu kwema ila Misri kudraw na Iran imenipotezea hela kwenye kubet. Nilitaka Misri ishinde magoli matatu mkeka utiki niondoke na hela ya maana.
Wanafiki wengine ni South Africa sijui kwanini wamesonga mbele hatua za mtoano. Wapigwe tu na Canada.
Lakini nao wameshakuwa wanafiki. Vipi na wewe huko mishe zinaendaje?
Shukran za dhati.
adriz de mbusii
Hahaha kiongozi. Hongera zako mkuu wewe ni kati ya mashujaa wachache waliochukua uamuzi wa kibabe na kishujaa.Ziko poa tu mkuu!
Toka mwaka uanze 2026 sijawah beti kiongozš¤
Ndio dogo, mbona wewe na Mwajuma Ndala Ndefu mnatendaga dhambi?Unafundisha dhambi dunianiš
Someone can make a very good comedian if he takes his talent seriously.Siku zote mtu ambae ni mnafiki unatakiwa uishi nae kinafiki mana kuna watu wanafik wanaojifanya wema kumbe wabaya anajifanya ni rafiki yako kumbe anakudanganya anaweza kujifanya anakuuliza mipango yako n.k kumbe anataka tu kukuharibia au kukutangaza umbea so! mnafik ish nae kinafiki
Wewe mtu mnafiki unaishi nae vipi?
š japo nakuwa na hamu balaa inanijia ya kubeti lakin ghafla nasahau ! Siku inapita mpak nimeshazoeaHahaha kiongozi. Hongera zako mkuu wewe ni kati ya mashujaa wachache waliochukua uamuzi wa kibabe na kishujaa.
Na ww n kanafki?Kila mtu ni mnafik kw nafasi yake
Ndio kama wew tuNa ww n kanafki?
Gentleman,Siku zote mtu ambae ni mnafiki unatakiwa uishi nae kinafiki mana kuna watu wanafik wanaojifanya wema kumbe wabaya anajifanya ni rafiki yako kumbe anakudanganya anaweza kujifanya anakuuliza mipango yako n.k kumbe anataka tu kukuharibia au kukutangaza umbea so! mnafik ish nae kinafiki
Wewe mtu mnafiki unaishi nae vipi?
Nafurahi sana kuona ukifeliDah mkuu kwema ila Misri kudraw na Iran imenipotezea hela kwenye kubet. Nilitaka Misri ishinde magoli matatu mkeka utiki niondoke na hela ya maana.
Wanafiki wengine ni South Africa sijui kwanini wamesonga mbele hatua za mtoano. Wapigwe tu na Canada.
Lakini nao wameshakuwa wanafiki. Vipi na wewe huko mishe zinaendaje?
Shukran za dhati.
adriz de mbusii
Acha kukulupuka weweNdio dogo, mbona wewe na Mwajuma Ndala Ndefu mnatendaga dhambi?
Nyau wewe!
Hapan niko reallyNdio kama wew tu
SawaHapan niko really
Hata kama nimefail wewe toto jinga bado tu Misri imefuzu mtaonošš š¤£. Kwa hiyo bado mimi mshindi maarasss.Nafurahi sana kuona ukifeli