Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,775
- 19,447
Dah mwanangu nilijuaga utani wakulungwa wanaosemagwa kumbe wamo bwanaHahaha , comfort zone bwashee
Dah mwanangu nilijuaga utani wakulungwa wanaosemagwa kumbe wamo bwanaHahaha , comfort zone bwashee
Kuna nini kilitokea humu master 🤣Dah mwanangu nilijuaga utani wakulungwa wanaosemagwa kumbe wamo bwana
Wewe huoni id zinatoka Zina anzishwa kama mkanda wa video?Kuna nini kilitokea humu master 🤣
Hahaha najikita kusoma maudhui kuliko kuangalia I'd bwashee , labda ndio maana sigundui kitu😅Wewe huoni id zinatoka Zina anzishwa kama mkanda wa video?
Si ndio hapo sasa?Wewe umemjuaje mwenzio mnafki kama na wewe sio mnafki? 😹
Yaani humu ukiingia mtegoni tu imeisha, hv na ww mbona ulisepa na sio kawaida yako mkuu?Hahaha najikita kusoma maudhui kuliko kuangalia I'd bwashee , labda ndio maana sigundui kitu😅
Bwashee, mimi naingia mtegoni na siishi , kuisha labda uwe na ubongo mdogo kama wa nungunungu😅Yaani humu ukiingia mtegoni tu imeisha, hv na ww mbona ulisepa na sio kawaida yako mkuu?
Mi siwezi aisee,nikishajua huyu ni snitch namkata juu kwa juu akalale na baba yake huko🖕🏼Siku zote mtu ambae ni mnafiki unatakiwa uishi nae kinafiki mana kuna watu wanafik wanaojifanya wema kumbe wabaya anajifanya ni rafiki yako kumbe anakudanganya anaweza kujifanya anakuuliza mipango yako n.k kumbe anataka tu kukuharibia au kukutangaza umbea so! mnafik ish nae kinafiki
Wewe mtu mnafiki unaishi nae vipi?
Siku hizi umechachuka wa kwetuMi siwezi aisee,nikishajua huyu ni snitch namkata juu kwa juu akalale na baba yake huko🖕🏼
🤓 nakuigaSiku hizi umechachuka wa kwetu
Mimi hii I'd tunatumia watu wawili mimi wa safari lager na mimi wa maji ya uhai wewe iga ufe😅🤓 unakuiga
🤭🤣ulikuwa mpole sana,but nowdays mmmh😝Mimi hii I'd tunatumia watu wawili mimi wa safari lager na mimi wa maji ya uhai wewe iga ufe😅
Dah mkuu kwema ila Misri kudraw na Iran imenipotezea hela kwenye kubet. Nilitaka Misri ishinde magoli matatu mkeka utiki niondoke na hela ya maana.Sure, vp kiongoz kwema?? naon umeongea kwa hisia san
Sijawahi kuwa mpole , nilikua naishi nanyie kinafki kama mada ya mtoa mada😅🤭🤣ulikuwa mpole sana,but nowdays mmmh😝
Hakika,hii ni sahihi kabisa🥴Sijawahi kuwa mpole , nilikua naishi nanyie kinafki kama mada ya mtoa mada😅