Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,775
- 19,447
Sasa utaingiaje mtegoni ukiwa na ubongo mkubwa, mbona logic ndogo tu.Bwashee, mimi naingia mtegoni na siishi , kuisha labda uwe na ubongo mdogo kama wa nungununguš
Sasa utaingiaje mtegoni ukiwa na ubongo mkubwa, mbona logic ndogo tu.Bwashee, mimi naingia mtegoni na siishi , kuisha labda uwe na ubongo mdogo kama wa nungununguš
Mshahara wako haukutoshi mpaka ujiingize kwenye Makamari ? Mbona Scandinavian countries na Ulaya nchi nyingi wanalipa vizuri ?Hata kama nimefail wewe toto jinga bado tu Misri imefuzu mtaonošš š¤£. Kwa hiyo bado mimi mshindi maarasss.
NYAMBAFF
Elfu 80 madaf kwa lisaa ni kidogo? Maarass Mitayo nyangwisi.Mshahara wako haukutoshi mpaka ujiingize kwenye Makamari ? Mbona Scandinavian countries na Ulaya nchi nyingi wanalipa vizuri ?
Kama unaishi maisha ya dhiki Ulaya kutokana na kufanya kazi zenye malipo ya chini tuna CV zako kwangu nikurahisishie nikuunganishe na marafiki zangu Ulaya wakupe mchongo wa kueleweka.
Niko seriazi Nyangwisi nataka nikusaidie , sipendi kuona ukiteseka na kuishi maisha ya tabu Ulaya urudi bongo kapuku
Ukiona mtu mnafiki kwako ujue wewe ndue ulie anza unafiki.Siku zote mtu ambae ni mnafiki unatakiwa uishi nae kinafiki mana kuna watu wanafik wanaojifanya wema kumbe wabaya anajifanya ni rafiki yako kumbe anakudanganya anaweza kujifanya anakuuliza mipango yako n.k kumbe anataka tu kukuharibia au kukutangaza umbea so! mnafik ish nae kinafiki
Wewe mtu mnafiki unaishi nae vipi?
Hapana hapana nimeku tag tu kwenye uz sijamaanisha ww n mnafkUkiwa na maana kuwa na mimi ni mnafiki pia?
Heheheh na ukaniita Mimi rafiki yako, sio mbaya.Hapana hapana nimeku tag tu kwenye uz sijamaanisha ww n mnafk
Hapana sina undugu na popomaHeheheh na ukaniita Mimi rafiki yako, sio mbaya.
Hivi una undugu na chizi maarifa
Dawa ya mnafiki ni kumchinjilia baharini ukiendelea kuishi naye hakika na wewe utakuwa mnafiki twice.Mi siwezi aisee,nikishajua huyu ni snitch namkata juu kwa juu akalale na baba yake hukošš¼
Duh ! Maarassmbus Nyangwisi kumbe unapata hela nyingi hivyo ?Elfu 80 madaf kwa lisaa ni kidogo? Maarass Mitayo nyangwisi.
NYAMBAFF
Hahahahahaaaaa. Status ambayo ninayo hata murder, drugs na rape related cases/charges haiwezi nifanya kuderpotiwa.Duh ! Maarassmbus Nyangwisi kumbe unapata hela nyingi hivyo ?
Achana na kuwekaza kwenye kamari na Mabange Fanya vitu vya msingi maana deportation inakuja soon unarudi bongo kulima Magimbi .
Dah ! nimesikitika hapo nishafeliHahahahahaaaaa. Status ambayo ninayo hata murder, drugs na rape related cases/charges haiwezi nifanya kuderpotiwa.
Kabisa kabisa,maana mtu mbaya kwako haanzi leo kuwa mbaya,alikuwa mbaya kwako toka zamaniDawa ya mnafiki ni kumchinjilia baharini ukiendelea kuishi naye hakika na wewe utakuwa mnafiki twice.
Nilishashindwa kuishi kinafiki na watu nao jua ni wanafiki.Kabisa kabisa,maana mtu mbaya kwako haanzi leo kuwa mbaya,alikuwa mbaya kwako toka zamani
Yaan ukiweza,maana yake nawe umoNilishashindwa kuishi kinafiki na watu nao jua ni wanafiki.