Anapafahamu kwangu, anajua nakaa mwenyewe na alinambia itakua mda mfupi tu haitazidi ata wiki mbili.
sasa naona uvumilivu unanishinda, nmemiss uhuru wangu, kumwambia nashindwa na aliwahi nisaidia pia.
Niishi nae vipi,
Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo.
Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri.
Miezi miwili iliopita mambo yake hayakwenda sawa akaniomba aje akae kwangu kwa mda mfupi akijipanga ili aende kupanga, Ila sasa naona kabisa uvumilivu umeniisha na sijui anaondoka lini na naona nikimuuliza atajisikia vibaya.
Ratiba ya kwangu imebadilika kabisa, mimi si mtu wa kutoka napenda kuwahi kurudi nyumbani na kupata mda mwingi wa kupumzika, yeye anachelewa kurudi akirudi ni hekaheka atataka tuongee nisipomjibu anajisikia vibaya, atabamiza milango, uo usiku ndio atataka apike, kunakua hakuna utulivu na kachumba ni kamoja tu,..najikuta tu nina hasira na kisirani.
Mnachukuliana vipi na watu wa haina hii?
Then vumiliaNajua kabisa kwamba tukikaa wote mda mrefu hatutawezana,lakini nilishindwa kumkatalia vile na yeye aliwahi kunisaidia uko nyuma.
Natamani apate kwake aende ndo sijui itakua lini.
Kumleta mwanaume wangu ndani naona haitakua busara.
Hivi kwasababu gani wanawake huwa hawawezi kuvumiliana?Kosa kubwa sana unalifanya ni kutotambua ukweli kwamba wanawake huwa hamkai chumba kimoja kwa muda mrefu mkaweza kuvumiliana hata muwe marafiki kiasi gani hilo haliwezekani.
Mwambie ukweli, atanuna (mtanuniana) yataisha na maisha yataendelea. Hakikisha anahamia kwake kwa mbinu yyt ile, kwa mfano; mlete mwanaume wako na hakikisha anakaa hapo hadi mida mibovu wakati huo yeye akae nje asubiri mmalize maongezi yenu (ikiwezekana kila siku mfululizo) nakuhakikishia hatoweza kuvumilia atatafuta namna ya kuondoka
Nadhani kwa sababu hawawezi kumwambia mtu kosa lake usoni, kosa la shoga huyu anaenda kulalamika kwa shoga yule.Hivi kwasababu gani wanawake huwa hawawezi kuvumiliana?
Me nlikua nae mmoja amekaa kwangu Toka mwezi wa Kumi na moja mwaka Jana........ nyumba nlokua naish mwanzo ilikua vyumba viwili.....nkahamia kweny kimoja na sebule bado nko nae.....Kuna mtu nkaingia nae mahusiano.....eeh akaanza kua anamuomba Ela me sijui...mara anamwambia mambo yangu, huyo akawa kaniacha bila kujua sababu.....huyo Rfk alikua achangii chochote ndani me nmlishe, hadi pads nmnunulie.......nlivokuja kujua nkamwambia tu ukweli....ugomvi ulozuka hapo....oooh ww una roho mbaya, unitunzi me kama rafk ako, unamjali mtoto ako na Nini na Nini....... nkamwambia tu ondoka nyumbani kwangu......akaondoka....kwa hyo ukimwambia ondoka jiandae kwa bifu sisi wadada akil zetu ni ndogo sana!Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo.
Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri.
Miezi miwili iliopita mambo yake hayakwenda sawa akaniomba aje akae kwangu kwa mda mfupi akijipanga ili aende kupanga, Ila sasa naona kabisa uvumilivu umeniisha na sijui anaondoka lini na naona nikimuuliza atajisikia vibaya.
Ratiba ya kwangu imebadilika kabisa, mimi si mtu wa kutoka napenda kuwahi kurudi nyumbani na kupata mda mwingi wa kupumzika, yeye anachelewa kurudi akirudi ni hekaheka atataka tuongee nisipomjibu anajisikia vibaya, atabamiza milango, uo usiku ndio atataka apike, kunakua hakuna utulivu na kachumba ni kamoja tu,..najikuta tu nina hasira na kisirani.
Mnachukuliana vipi na watu wa haina hii?
We mtimie usiangalia atakufikiriaje!!Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo.
Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri.
Miezi miwili iliopita mambo yake hayakwenda sawa akaniomba aje akae kwangu kwa mda mfupi akijipanga ili aende kupanga, Ila sasa naona kabisa uvumilivu umeniisha na sijui anaondoka lini na naona nikimuuliza atajisikia vibaya.
Ratiba ya kwangu imebadilika kabisa, mimi si mtu wa kutoka napenda kuwahi kurudi nyumbani na kupata mda mwingi wa kupumzika, yeye anachelewa kurudi akirudi ni hekaheka atataka tuongee nisipomjibu anajisikia vibaya, atabamiza milango, uo usiku ndio atataka apike, kunakua hakuna utulivu na kachumba ni kamoja tu,..najikuta tu nina hasira na kisirani.
Mnachukuliana vipi na watu wa haina hii?
sishangai hizi ni tabia za kike, wanawake hamuwezagi kuishi kwa pamoja bila kisiraani, mna kaubinafsi.Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo.
Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri.
Miezi miwili iliopita mambo yake hayakwenda sawa akaniomba aje akae kwangu kwa mda mfupi akijipanga ili aende kupanga, Ila sasa naona kabisa uvumilivu umeniisha na sijui anaondoka lini na naona nikimuuliza atajisikia vibaya.
Ratiba ya kwangu imebadilika kabisa, mimi si mtu wa kutoka napenda kuwahi kurudi nyumbani na kupata mda mwingi wa kupumzika, yeye anachelewa kurudi akirudi ni hekaheka atataka tuongee nisipomjibu anajisikia vibaya, atabamiza milango, uo usiku ndio atataka apike, kunakua hakuna utulivu na kachumba ni kamoja tu,..najikuta tu nina hasira na kisirani.
Mnachukuliana vipi na watu wa haina hii?
Mzee mwenzangu umeongea ukweli sisi tunapendana tukiwa mbali bwanaKosa kubwa sana unalifanya ni kutotambua ukweli kwamba wanawake huwa hamkai chumba kimoja kwa muda mrefu mkaweza kuvumiliana hata muwe marafiki kiasi gani hilo haliwezekani.