The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,080
- 102,524
Uwe unanitumia mimi hizo hela zako za malengo ili niwe nakutunzia.
Kuna njia ya asili ya kwanza shika mtungi ukiwa na gesi uzito wake ni tofauti kadri unavyo shuka,Unajuaje gas imebakia kiasi gani mkuu!
Nilifanyiwa fitina na wajumbe wa ccm sikupita🥴Mungu anasaidia aisee,vipi ubunge kigamboni Kuna kupita kweli?
Achana nao hao....ila wajumbe wa safari hii walikaa kinoko sana aisee🙌Nilifanyiwa fitina na wajumbe wa ccm sikupita
Wana roho mbaya sanaAchana nao hao....ila wajumbe wa safari hii walikaa kinoko sana aisee🙌
😂😂Malipo hapahapa duniani🤒Wana roho mbaya sana
KabisaHuwez Anza kusave kama huna Lengo.
Nunua Hisa La mama…Mnatunzaje pesa jamani
Mshahara wangu 650,000 kwa mwezi
Sina familia inayonitegemea
Kwa Wazazi naweza kutoa haizid 100.000
Na siyo lazima kuwapa
Yaan sina yule mtu ananitegemea kabisa kabisa
Lakini matumizi yangu yamekua makubwa kuliko kipato ninachoingiza
Natunza vipi pesa ili niyafikie malengo ??
Kabisa 😀😃😃😂😂Malipo hapahapa duniani🤒
Hii ni bajeti yangu ya siku 2Mnatunzaje pesa jamani
Mshahara wangu 650,000 kwa mwezi
Sina familia inayonitegemea
Kwa Wazazi naweza kutoa haizid 100.000
Na siyo lazima kuwapa
Yaan sina yule mtu ananitegemea kabisa kabisa
Lakini matumizi yangu yamekua makubwa kuliko kipato ninachoingiza
Natunza vipi pesa ili niyafikie malengo ??
hujamboAchana nao hao....ila wajumbe wa safari hii walikaa kinoko sana aisee🙌
Naomba unioe tafadhaliHii ni bajeti yangu ya siku 2
Umeme wa elfu 5?Nisiwe muongo huwa simalizi laki 3 ndani ya mwezi 1.
Unga kg 25
gas kubwa 60k mkataba miezi 6+.(Nina miezi 4 na bado hata nusu haija fika).
dagaa kisado 1 - 8k
Mchele kg 25 - 50k.
Usafiri home na kwenye u jobless ni dk 10-15 tu(baiskeli ipo).
Mafuta litre 5 25k. (Miezi 2+)
Umeme 5k + maji 5k.
Nyama au kuku 40k
Total= 210k.
Ehh mkuu niko Kwenye matumizi madogo, kwani wewe una tumia wa 60k ehh?Umeme wa elfu 5?
Mnatumia sn hela out of budget.....sana sana nguo.... urembo n.k ! Kutokusuka sio hoja.... uko poa mdada ??? Oktoba unatiki au unatoka ...? Nimechomekea in Magu's voice 😊Niliyenyoa je?