BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,344
- 6,857
Pesa ndogo hiyo huku tunaiteketeza siku moja tu
Huku kanda ya ziwa!
Huku kanda ya ziwa!
PM nikupe ushauri wa bure kabisa! HutojutiaNO REFORM NO ELECTION
Mnatunzaje pesa jamani
Mshahara wangu 650,000 kwa mwezi
Sina familia inayonitegemea
Kwa Wazazi naweza kutoa haizid 100.000
Na siyo lazima kuwapa
Yaan sina yule mtu ananitegemea kabisa kabisa
Lakini matumizi yangu yamekua makubwa kuliko kipato ninachoingiza
Natunza vipi pesa ili niyafikie malengo??
Nimejibu ktk "Context" ya mleta mada. Kuna stage kwenye maisha inabidi ujibane sana, kuna stage kwenye maisha ni heri upoteze muda kuliko kupoteza hiyo 2000, maana ukizijumlisha kwa mwezi mzima zinafanya hesabu iwe 60k.Sasa nipande daladala 500, nispend 4hrs wakati bolt buku 2 dakika chache nimekamilisha safari.
Katika kitu mi sipendi na siwezi ni kuspend masaa barabarani kila jero hapana
Njoo inbox tuyajengeNaomba unioe tafadhali
JamanNjoo inbox tuyajenge
Nunua stock ya chakula cha kula ndani ya wiki mbili inayolingana na robo ya mshahara wako, hakikisha pesa huitoi yote benki. Ukinunua stock ya aina hiyo mara mbili ili kukamilisha wiki nne, utakuwa umetumia nusu ya mshahara wako. Matumizi ya kawaida weka 150,000. Mwisho wa mwezi unaweza ku- save robo ya mshahara mzima.NO REFORM NO ELECTION
Mnatunzaje pesa jamani
Mshahara wangu 650,000 kwa mwezi
Sina familia inayonitegemea
Kwa Wazazi naweza kutoa haizid 100.000
Na siyo lazima kuwapa
Yaan sina yule mtu ananitegemea kabisa kabisa
Lakini matumizi yangu yamekua makubwa kuliko kipato ninachoingiza
Natunza vipi pesa ili niyafikie malengo??
Njoo nikuoe, ili tusaidiane namna ya kusave.NO REFORM NO ELECTION
Mnatunzaje pesa jamani
Mshahara wangu 650,000 kwa mwezi
Sina familia inayonitegemea
Kwa Wazazi naweza kutoa haizid 100.000
Na siyo lazima kuwapa
Yaan sina yule mtu ananitegemea kabisa kabisa
Lakini matumizi yangu yamekua makubwa kuliko kipato ninachoingiza
Natunza vipi pesa ili niyafikie malengo??
It's okay if you can affordSasa nipande daladala 500, nispend 4hrs wakati bolt buku 2 dakika chache nimekamilisha safari.
Katika kitu mi sipendi na siwezi ni kuspend masaa barabarani kila jero hapana