MMU hot talk

MMU hot talk

mpwa tanesco kikapu mbona juzi sana....sisi tulianzia pale gymkhana nje ambapo sasa hivi wamejenga SHERATON/MOVENPICK/SERENA.....wapi SALEHE ZONGA???

Ama kweli mji umebadilika sana.....
 
Mpwa unadiriki kuandika Tanesco ni juzi?

Labda wewe unaifahamu viwanja vya Tanesco baada ya kuongezwa kipande cha netball na zile pitch nyingine za kikapu...

Tanesco ninayozungumzia mimi ni enzi ile kuna pitch moja tu usawa wa mbuyu pale, wakati huo Gwantwa Mwasakyeni anaokota tu mipira kuwarushia kina Yassin Chogo, Shaban Tolu, Mbembenwe (hili jina sina uhakika kama nimepatia spelling) yule point guard wa Chang'ombe by then...

Enzi ambayo Tanesco wana timu yao na ina wachezaji lukuki tu wazuri ukiacha wale wa Jogoo, Pazi na Vijana...

Wapiga dunk maarufu walikuwa ni kina Dudu marehemu kaka yake Henry Mwinuka, halafu kuna yule mtoto wa Jaji Warioba aliyekuwa anachezea timu ya Oystebay...

ndio maana nakwambia juzi...pazi walianzia gymkhana nje pale ndio wakahamia tanesco baadae baada ya kujenga sheraton pale...huyo aluta warioba nae wa juzi kama mimi na wenzie wa pale half court kwa kimarrio obay. ngoja niishie hapa.
 
Basi enzi hizo za Gymkhana nilikuwa bado Matombo...

Ila nimefurahi umenikumbusha jina la Aluta, sijui atakuwa wapi huyu mtu?

ndio maana nakwambia juzi...pazi walianzia gymkhana nje pale ndio wakahamia tanesco baadae baada ya kujenga sheraton pale...huyo aluta warioba nae wa juzi kama mimi na wenzie wa pale half court kwa kimarrio obay. ngoja niishie hapa.
 
Mpwa unadiriki kuandika Tanesco ni juzi?

Labda wewe unaifahamu viwanja vya Tanesco baada ya kuongezwa kipande cha netball na zile pitch nyingine za kikapu...

Tanesco ninayozungumzia mimi ni enzi ile kuna pitch moja tu usawa wa mbuyu pale, wakati huo Gwantwa Mwasakyeni anaokota tu mipira kuwarushia kina Yassin Chogo, Shaban Tolu, Mbembenwe (hili jina sina uhakika kama nimepatia spelling) yule point guard wa Chang'ombe by then...

Enzi ambayo Tanesco wana timu yao na ina wachezaji lukuki tu wazuri ukiacha wale wa Jogoo, Pazi na Vijana...

Wapiga dunk maarufu walikuwa ni kina Dudu marehemu kaka yake Henry Mwinuka, halafu kuna yule mtoto wa Jaji Warioba aliyekuwa anachezea timu ya Oystebay...

Mkuu umenikumbush mbali sana, bila shaka utakuwa unamfahamu huyu mchizi wangu Shaban Kazumba ambaye alichezea Pazi ile ambayo ilialikwa Marekani miaka 90's

Mchizi wangu Shabob sasa anakinukisha Germany yuko ndani ya Humberg.
 
Attachments

  • 1413967025401.jpg
    1413967025401.jpg
    20 KB · Views: 113
  • 1413967056744.jpg
    1413967056744.jpg
    65.5 KB · Views: 116
  • 1413967076583.jpg
    1413967076583.jpg
    17.5 KB · Views: 119
Humu kuna makubwa....
Haya mie nabaki kuwa mtazamaji.
CC: amu..... lara 1 naona unakaa mita 4 mbele, ukijibu mashambulizi, au unakwepa chupa za uso.
....ngoja 😛eep: kwanza, nitarudi.

Sijakuelewa! ILA MIMI NIMEJILOWEKA KWENYE BARAFU MIKONO, NAJIFUA KWA IJUMAAA HII, NASIKIA BINTI MLOKOLE KUFANYIWA HOT TALK! Hahaaaaaaaaaaaaa! I CANT WAIT TO TEAR HER INTO PIECES! Na mlokole kweli kweli sio hawa BIKRA ZA MASIKIO!

Sasa on the mean time nimejiloweka! ATAENIHITAJI ANI MENTION TO NA ALERT!
 
Mkuu umenikumbush mbali sana, bila shaka utakuwa unamfahamu huyu mchizi wangu Shaban Kazumba ambaye alichezea Pazi ile ambayo ilialikwa Marekani miaka 90's

Mchizi wangu Shabob sasa anakinusha Germany yuko ndani ya Humberg.

Haswa mkuu Shaban Kazumba ndiye Shaban Tolu maana wakati huo yeye ndiye alikuwa mchezaji mrefu kuliko wote na alicheza Centre "Big Man" pale Pazi...

Sikua najua huyu jamaa yupo wapi maana ile timu ya Pazi wachezaji wengine walifariki na wengine wapo Bongo kama Nyembela yupo EATV...

Kuna wakati fulani nakumbuka kama alienda Afrika Kusini kama sikosei na kina John Ntambwe, baada ya hapo sikujua kilichoendelea...
 
Sijakuelewa! ILA MIMI NIMEJILOWEKA KWENYE BARAFU MIKONO, NAJIFUA KWA IJUMAAA HII, NASIKIA BINTI MLOKOLE KUFANYIWA HOT TALK! Hahaaaaaaaaaaaaa! I CANT WAIT TO TEAR HER INTO PIECES! Na mlokole kweli kweli sio hawa BIKRA ZA MASIKIO!

Sasa on the mean time nimejiloweka! ATAENIHITAJI ANI MENTION TO NA ALERT!

Me najitolea kuku-mention.
Nitaandaa na mapambio kabisa kwa binti wa kilokole......sasa ole uondoke kabla ya dk 90 za uwanja, nakuvuta top.
 
Haswa mkuu Shaban Kazumba ndiye Shaban Tolu maana wakati huo yeye ndiye alikuwa mchezaji mrefu kuliko wote na alicheza Centre "Big Man" pale Pazi...

Sikua najua huyu jamaa yupo wapi maana ile timu ya Pazi wachezaji wengine walifariki na wengine wapo Bongo kama Nyembela yupo EATV...

Kuna wakati fulani nakumbuka kama alienda Afrika Kusini kama sikosei na kina John Ntambwe, baada ya hapo sikujua kilichoendelea...

Tulikutana na Shabob Cape town akacheza ligi yao pale baadaye akapata mkataba Singapore akaenda akacheza mkataba ulipoisha akarudi Cape town tulikuwa wote mpaka demu wake mzungu akamfuata na akaondoka naye German na akapata Team uku anafanya mambo yake mengine.

Tangu aende German huu ni mwaka wa 14 sasa ila amekuwa akirudi Bongo na kukaa muda mchache tumeshaonana safari kama mbili tofauti maana na mimi niko speed mbaya.
 
Ha ha haaaa halafu hichi kideo wala hakimaliziki, tangu jana natizama hakiishi.

hahahaa, mkuu kumbe na wewe unafuatilia hiii tamthiliya?...asee mpaka sasa hivi nadhani imevunja record, wacha niongeze popcorn, maana sioni hata dalili ya kufika mwisho!
 
Haswa mkuu Shaban Kazumba ndiye Shaban Tolu maana wakati huo yeye ndiye alikuwa mchezaji mrefu kuliko wote na alicheza Centre "Big Man" pale Pazi...

Sikua najua huyu jamaa yupo wapi maana ile timu ya Pazi wachezaji wengine walifariki na wengine wapo Bongo kama Nyembela yupo EATV...

Kuna wakati fulani nakumbuka kama alienda Afrika Kusini kama sikosei na kina John Ntambwe, baada ya hapo sikujua kilichoendelea...

john ntambwe alifariki akiwa huko huko SA....simsahau huyu jamaa,wakati nipo form one nilikuwa point guard wa timu yangu[kapuni] kwenye bonanza tanesco tulicheza na pazi nilikuwa naingia kwa lay up huyu jamaa aliruka akaubana mpira pale kwenye ubao akashuka nao kama rebound!!!! ila alinikomaza tangu siku hio nilikuwa siogopi mtu yoyote mrefu naingia tu
 
Unaikumbuka Bush Trekker?

ha ha ha ha ha sasa hivi kuna barclays house/amani place etc bushtrekker pale lilikuwa TDFL building kulikuwa na duty free ndio ilikuwa supermarket yetu! wewe una kumbukumbu hio nisingeikumbuka kabisa
 
Yup...sawasawa kabisa! Kulikuwa na duty free/ supermarket hapo.

I told you...I'm from here, I didn't come here.

Halafu nimeona mlikuwa mnamzungumzia marehemu Mwinuka yule b-baller. Alikuwa anaitwa Henry au Hope Mwinuka.

Najua A level alisoma SRSS
 
mi nimecheza bball na henry mwinuka aka kidume,bado yupo siku hizi amekuwa bball kocha, nafikiri marehemu ni kaka yake maybe
 
Yup...sawasawa kabisa! Kulikuwa na duty free/ supermarket hapo.

I told you...I'm from here, I didn't come here.

Halafu nimeona mlikuwa mnamzungumzia marehemu Mwinuka yule b-baller. Alikuwa anaitwa Henry au Hope Mwinuka.

Najua A level alisoma SRSS

unaikumbuka MOTEL AGIP??? nakumbuka burger zao na chicken chips!
 
Back
Top Bottom