Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,299
We nae unapotea sana et
anayepotea hutafutwa, ulijaribu hilo weye?

Rais wa wabeba box kwenye ubora wake, kweli nimeamini asiyekujuwa hakuthamini, sikuwahi kujuwa hapo kabla kama eneo hili unaweza kulichambuwa kwa viwango vya juu kama vya Dr Rick Abdalla.
Hii style ya Bebeto siku moja Mohamed Hussein Mmachinga aliiga uwanja wa Taifa, siku moja nilienda nyumbani kwa Method Mogela fundi R.I.P nilikumta Mohamed Hussein naye yupo pale nikamwambia kaka ulichemka.
ha ha ha ha ona sasa UWANJA WA MAGUNIA ni pale msasani nyuma ya drive in [US embassy] maandazi road
muulize Asprin
Hapana. Hii ilikuwa ni robo fainali kati ya Brazil na Uholanzi.
Halafu unalikumbuka goli la Rashid Yekini dhidi ya Bulgaria?
Jamaa abaada ya kufunga akaenda akazishika nyavu kwa hisia sana.
Cheki hapa.....
Yeah nalikumbuka sana lile goli lilitamba sana kwenye media. Nakumbuka alikuwa muda si mrefu kawa mfungaji bora kwenye AFCON watu wakamtabiria kufanya makubwa WC....lakini hilo ndilo lilikuwa bao lake pekee kwenye fainali za WC.
Huyu Yekini nasikia alikuja kufulia kiasi cha kuishi maisha ya chini sana Lagos mpaka alipofariki.
lemme join you meshenga...i guess popcorn won't be enough so a sahani ya makande will do..teh!!
Ah pale Relwe Gerezani mbona nilikuwa naenda sana. Enzi za kina Stanley "Ninja" Mabesi na yule Mzambia Charles Libondo. Pale mi nilikuwa mwenyeji sana.
Halafu unajua Dar kipindi hicho ilikuwa ndogo sana ukilinganisha na sasa. Nazimiss sana enzi hizo aisee na najua tushapishana sana kwenye hivyo viwanja. Hahahaaa
Unatupigia kelele....watu tumepumzika bhana
anayepotea hutafutwa, ulijaribu hilo weye?
Nmekutafta sana eti
Mpwa hapa ni nini? Page 45 kila page 30 posts......
Aisee Mabesi na Libondo ilikuwa habari ya mjini. Hata kama hukuwa shabiki wa masumbwi ulilazimika kuwajua.
Kweli mji ulikuwa mdogo. Imagine pale Kisutu ndo ilikuwa stand ya mabasi ya mikoani enzi hizo magari yanasafiri usiku. Sasa hivi hata taxi zinapajaza na nyingine zinakosa pa kupaki.
Si utani zilikuwa siku nzuri sana za kukumbuka.
Hapa kila mtu anapiga stori yake mpwa...
Si unaona mpwa ODM anakumbushia enzi zake hapa tauni, enzi za Embassy Hotel, Magoti, ukitaka kutikisa nyonga unasogelea DDC Mlimani au La Prima...
Enzi hizo Gogo Hotel ndio kiota cha maraha pale Morocco lilipo sasa jengo la Airtel...
Ukitaka kutazama mchiriku unakuja hapo ilipo ofisi kuu ya Zantel na jioni kidogo unajongea pale maandazi road uwanja wa magunia kuwacheki kina Tigana, Kasongo Athuman etc wakipiga ndondo...
Kwa wale wapendai michezo ya pikipiki walikuwa hawakosi events za urushwaji pikipiki pale ulipo uwanja wa Biafra...
Na wale wapenzi wa kikapu nani alikuwa anakosa gemu za kikapu pale Tanesco unakutana na kina Muhogo Mchungu, Pat Nyembela, John Ntambwe 'wa Mafuta' (R.I.P) , Dudu (R.I.P) etc

usisahau na stand ya mnazi mmoja safari yangu ya kwanza kuvuka mpaka nilikuwa naenda blantire malawi nilipanda pale basi la tawaqal.