MMU hot talk

acha kamba wewe...mitaa hio yetu huwezi kugusa wewe....unapajua deluxe bar?

Unacheza wewe!

I'm from here, I didn't come here.

Mi mpaka uwanja wa magunia pale Ilala nshacheza mechi huku kiunoni nimefunga mka wa taa - mechi kati ya Abajalo FC na Linea Mesina.

Utanambia nini wewe....
 
Ni Augustine "Jay Jay" Okocha.

Jamaa alikuwa mbaya sana kwenye chenga. Kuna kipindi wakati anachezea Eintracht Frankfurt alimramba chenga mchezaji mmoja hivi hadi huyo jamaa akateguka mguu.

Huyu jamaa alikuwa ni hatari sana

Alipokuwa Paris st Germainy alikuwa anamuweka bench Gaucho,hadi alipoondoka kwenda Bolton ndio Gaucho akapata namba !
 
Unacheza wewe!

I'm from here, I didn't come here.

Mi mpaka uwanja wa magunia pale Ilala nshacheza mechi huku kiunoni nimefunga mka wa taa - mechi kati ya Abajalo FC na Linea Mesina.

Utanambia nini wewe....

ha ha ha ha ona sasa UWANJA WA MAGUNIA ni pale msasani nyuma ya drive in [US embassy] maandazi road

muulize Asprin
 
Last edited by a moderator:

Ile ilikuwa ni Album ya rais wa bendi hiyo JB Mpiana lakini aliwashirikisha baadhi ya wanamuziki wa kundi

Hiyo album ilivunja record za mauzo huku kibao kilichobeba jina la album "Feux de l'amour" [sijui kama nimepatia hizo spelling] kikishika namba moja kwenye chart za rumba Afria kwa miezi minne mfululizo

Album hiyi iliuza nakala 100,000 Ufaransa pekee achilia mbali mauzo ya mamilioni kule Congo DRC na barani africa kwa ujumla

Kibao hiki hapa

 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ona sasa UWANJA WA MAGUNIA ni pale msasani nyuma ya drive in [US embassy] maandazi road

muulize Asprin

Oops...nilimaanisha Msasani.

Timu ya Linea Messina ndo ilikuwa inatoka Ilala na Abajalo inatoka Sinza.
 
acha kamba wewe...mitaa hio yetu huwezi kugusa wewe....unapajua deluxe bar?

Deluxe bar ya magomeni pale mimi nilikuwa nafuata mishkaki yao tu na chachandu hamna bar pale.

Deluxe ya sinza sasa ndio kumekucha na mishkaki ya samaki siku hizi nakula Didi's pub Obey-Masaki.
 
Deluxe bar ya magomeni pale mimi nilikuwa nafuata mishkaki yao tu na chachandu hamna bar pale.

Deluxe ya sinza sasa ndio kumekucha na mishkaki ya samaki siku hizi nakula Didi's pub Obey-Masaki.

deluxe ya zamani sana....mi napenda jackys didi's naona ya matozi
 
deluxe ya zamani sana....mi napenda jackys didi's naona ya matozi

Mimi siyo tozi ila mishkaki na fillet na mishkaki ya samaki ndio inanifanyaga nipite Didi's pub. Kule mbele Masaki maeneo ya sea cliff na ya kwenda Yatch club ndio lilikuwa eneo la mishkaki lakini naona mambo ya mipango miji vijiwe vingi vimebomolewa.
 

HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! GRANNNY AKA BEST MOTHER ON EARTH HUJAJIBU HOJA ZETU KIBAO AU TUPE RUHUSA TUKUPESTIE HAPA!

CC ASKutasame angelita amu kiwatengu MPAKA UKAOMBEWA POOOOOOOOOOOOH! MASWALI MENGINE YALIKUWA RAHISI TU KUJIBU NDIO AU HAPANA?

SEMA SUU SAA HIVI MAANA NILIONA UNAOMBEWA OMBEWA POOO KWA PM OOOOH TUKUACHE MTU MZIMA, TUKARUDISHA MOYO NYUMA, SEMA SUUUUUUUUU TUANZE LIGI! NASUBIRI SUU YAKO! Mpaka ukaanza KULIKE NA KUPEWA KUBWA NA ASKUTASAME!

CC WOTE MLIO LIKE! MWAMBIENI GRANNY ASEME SUUU! MAISHA YAKO SIJIFICHI KWAKO WEWEEEEE! Mi humu nyani mzee nimekwepa mishale mingi sanaaaaaaaaaaaa! NASHILIA REKODI YA MISUTANO HUMU!

UKINIITA SIKU INGINE MENTION NA ALERT ITOKEE sio kibubu bubu! SEMA NENO MOJA TU KAZI IANZE!
 

hahahaaaaaa
 

Hahahahaaaaaaaa.... Nimecheka kwa masikitiko sana, huyu bibi anachekesha hivi anazani kukakaa kimya ni kumuogopa/ kumkimbia au anadhani hatuna shughuri na mambo mengine ya kufanya/tafakari ambayo niyamuhimu kuliko hili lakulichamba jitu zima hovyo lisilojielewa.

Naamini maneno ya yule aliyesema bibi bomba anaitaji maombi ni aibu kwa bibi mzima kupigishana kelele nawatoto. Hata Mimi nimekushinda kwabusara tukawasikiliza watu wazima wenzio waliokuombea pooh. Unamvamia kila anayekuambia ukweli kuonyesha jinsi gani unavyoweweseka.

Grandmaa ukimya ulikuwa heshima kwawale waliomba tukuache mana umeadhirika vyakutosha, ila uwezo wakukuchamba ninao tena mkubwa, na hivi sasa hivi Niko free karibu uwanjani wewe Nyumba kubwa njoo ukutane na ndogo.

Kweli wingi wa umri sio wingi wa akili niwingi wa makunyanzi.

Grandma sema suuuuu Niko hapa kukupa huduma nzuri.
 

subiri ASEME SUUU! Otherwise mwenzio nimeloweka mikono kwenye barafu! Maaana SIKU 3 MFULULIZO HAIKUWA MCHEZO! Najirepea TAYARI KWA IJUMAA JIONI INCSE MTU MWENYE MRENGO WA KI DEMOCRATIC AKIHITAJI BACK UP! Hata akiwa REPUBLICAN LAZIMA NILETE CHALLANGE!
 

Dada Lara1 u make me laugh unapomuita mwenzako Granny while u are Granny yo'self.

Herein attached is post #252 u posted last year 2013,23rd July saa 13:54 ukishaua una age under 25....then boom,2014 for some strange reason in this same thread uka-claim you are 30yrz!!!

First Off,u are a proven LIAR,tutakuaminije tena sasa?...tutakuamini vipi kila ulichosema/utakaachosema ni kweli?

A lying bish has to be straight consistent....step up your game and u will earn respect,don lie an' shit!

 

Hahaaaaaaaaaaaa! Nishakubali mmenibamba nilitumia mbinu za ki Sitty Mtemvu IM SIXTY YEARS GOIN 61! HAPPY NOW?
When it comes to respect of LOSERS like you WELL YOU CAN KEEP YOUR RESPECT! consider it a GIFT from me! Like seriously busy earning your respect!!!!? Kid you must really really think your a.as is important around here! Sorry to dissapoint you kiddo but you don't really matter around here!
 


Angalia sasa.....blah blah kibaoo,defensive mechanisms nyiingi na matusi juu....its nt 'bout whose a.ss is important an' whose not....U are a LIAR,that's a fact!.....yaani mwaka jana 2013 mpaka mwaka huu 2014 wewe umerusha miaka MITANO,jeeez!!!!.....sasa guess what,ukiongelea umri tena no one will believe u,its not my law,its a universal laws....sasa,dispute that!i double dare u!
 

Sitti Abbas Mtemvu @ work..!
 
Hahahaaa huyo binti Mtemvu kachemka mbaya mno aisee.

Pamoja na kusoma kwake Marekani hana kabisa sophistication na mambo ya media.

Alikosea sana..!
Alisahau kuwa siku hizi watu wanaangalia background yako kwa umakini sana..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…