MMU hot talk

Diva Beyonce embu tuendelee na yetu sieee cousin wangu afu bba ya jana ujanisimulia ujueee twende kule ukanisimulieee.........anaejiskia kichefuchefu na atapikeee
 
Last edited by a moderator:

Mkuu usipoteze muda wako kubishana na mtu ambaye ushamjua yupoje kuna vingi vya kutafakari hasa hili la watoto wanaopotea kila Leo, elekeza nguvu zako huko.
 
Sio zile nyungo za kufunikia chakula mezani au za kujipepea hutundikwa ukutani hasa na watu wa pwani Madame B

Sio hizo my dear, ni chakula,ziko kama mapumba flani ya mchele,...yanatiwa nadhani sukari au chumvi halafu unabugia mdomoni.
wazee wa pwani wanazipenda sana, kuna siku nilishawahi kujaribu kukaanga nikachemsha!!!
 
Last edited by a moderator:
Sio hizo my dear, ni chakula,ziko kama mapumba flani ya mchele,...yanatiwa nadhani sukari au chumvi halafu unabugia mdomoni.
wazee wa pwani wanazipenda sana, kuna siku nilishawahi kujaribu kukaanga nikachemsha!!!

Ahaaaa nimezipata vizuri nikiwa primary nilibugia sana
 
Diva Beyonce embu tuendelee na yetu sieee cousin wangu afu bba ya jana ujanisimulia ujueee twende kule ukanisimulieee.........anaejiskia kichefuchefu na atapikeee

Heeeeeeh wametoka watatu best kipenzi changu sabina katoka na mcharuko.lili aliye kua ana twerk na esther katoka
 
Last edited by a moderator:
Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nisipodeclare kufrahia na kujifunza mengi kupitia hot talk ya leo kwa hisani ya miss neddy as interviewer na bi angelita as feminine! Bhana nawaza mara mbili mbili kama niendelee na mpango wangu wa kuoa ama nisbiri subiri kwanza!
 
Last edited by a moderator:

bora tusubiri subiri tu kaka, wake wenyewe ndo hawa!!! yani uko ndoani sipapatii picha.... aaargh
 
Last edited by a moderator:
bora tusubiri subiri tu kaka, wake wenyewe ndo hawa!!! yani uko ndoani sipapatii picha.... aaargh

Kwani Junior pamoja na kusubiri kote si bado una nanihii na kina nanihii huko wakati ukisubiri wako aachike ndo uweke ndani?
Embu tueleze record yako kwenye haya makitu! Uliandika barua ngapi ukiwa shule ya msingi(kama umezaliwa wakati wa smart phone sijibu nitakuuliza lingine)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…