MMU hot talk

Na ndo tunawaambia hawa watoto kuishi kinondoni hapo uswahilini sio ndo wanajua chochote..watoke(wakiweza) na sehemu nyingine wapate exposure..i don' t know why they think kuishi uswahilini hapo kinondoni ni ujanja..?!!!
 
Nyie watu dizaini mna shida sana, umeshakimbilia mpaka akaombewe dah..!!
 
Hizi mentality embu ziondoeni ..kukulia kinondoni ndo nini..!? Kukulia kinondoni hakukufanyi ujue chochote zaidi ya mambo ya ajabu ajabu tu..acheni kupeana hizi cv zisizo na kichwa wala miguu..
 
Halafu wakizidiwa hoja wanajifanya kumzushia mtu uongo yani tabia za kipumbavu kabisa.

Ha ha ha...watakuwa wako kwenye kikao kama kamati...waje na mbinu zipi nyingine...
Walizotumia nimepangua mpaka wamejishtukia...

Huyo Lara1 wanayemfata kila asemacho hata utumbo kama kondoo anapelekwa machinjoni ni mjanja zaidi yao...

Wao mziki huu umewazidi umri

Lara anajua wakati wa kurusha kombora na wakati wa kujificha..hawa wanatanguliza tu vichwa vyao bila kupima upepo...
 
Mfyuuuuuu akuchezee akili yakoo ili kiwe nn don't be stupi.d
Unan'chekesha na vi ID vyako vya kishamba utakuja na Ushuzi wako wa kila aina bado utajulikana tu,bora ubadili tabia lakini si ID,wajanja wanacheza nazo kwa stepu,we unakuja na style ya Ngedere porini.
 
Unan'chekesha na vi ID vyako vya kishamba utakuja na Ushuzi wako wa kila aina bado utajulikana tu,bora ubadili tabia lakini si ID,wajanja wanacheza nazo kwa stepu,we unakuja na style ya Ngedere porini.

Ka unaskia kichefuchefu njoo unuse kwapa la beberu ili kiisheee hata nikiwa na id kumi haikuhusu na ww sie ulieninunia sm
 
...as you said ''ganstar keyboard''...she scripts what she advocates very skillfully....but does it casually..
OTHERS ARE JUST FOOTSOLDIERS FOLLOWING LIKE HEADLESS CHICKENS.....

Hahaaa...dude,ve u already gave her a "main squeeze"?if u na'wharram'in!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…