Acha uchokozi PhlagieyKwa mara ya kwanza chokoraa umeongea kitu cha maana.
Haya mawazo utakuwa umeyatoa wakati ukiwa haujaweka kiroba na ile kitu nyingine ya kaskazini.
I like I like I like.... comment bila kiroba inawezekana Big Up!!
Hasa ukiwa DUME LA MBEGU! Hahahaaaaaaaaa! Mtu mkeo kakugeuza godoro kichwani unafikiri mambo haya utayaweza? Thubutuuuuuuuuuuuu!
WE LIVE ONLY ONCE AND IF YOU LIVE WELL ONCE IS ENOUGH!:A S wink::A S wink::A S wink:
Siyo uchokozi mr Eli79Acha uchokozi Phlagiey
Asante kwa uzi jirani yangu miss neddy nimegundua jambo hapa, ujue nyie vijana mna mambo mengi sana kuna wakati inakuwa ngumu kuwasoma lakini kwa nafasi chache kama hizi tunayapitia mawazo yenu na kuwajenga wengine huku mitaani wasiingie kwenye mikumbo.
angelita popote ulipo salamu yangu ukifikie, seme neno moja tu na siku yangu itakuwa njema kama neema ya mvua kwa mkulima. LOL!!
Siyo uchokozi mr Eli79
Matola ni chokoraa kweli, halafu kuna kautani kwambaliiii fulani hivi, ujue simba akizeeka hata swala humchezea sharubu ngoja nichezee chezee sharubu za huyu chokoraa, maana kitambo alishanipaga mibango hapa nafanya kulipiza mdogo mdogo, maana najua simu anayotumia sasa hivi hai-post comment za matusi akijaribu inazimika.
Nambie cousin i was busy na outing you know hafu mabishano siya wezi kabisa
Kweli lazima nikubari uzee unabisha hodi maana hata nikiwa na million ni kama buku tu, anayekataa umri hiyo kazi namuachia Le Mutuz.
And married women like you!Kumbe ni Single Ladies and Gentlemen ,ok
Atiiiii?milioni unaona kama buku???
Atiiiii?milioni unaona kama buku???
Hahahaaaa cousin et Honey Faith anataka kujua y nabadilisha sana id
Hahahaa we wahaya hujawazoea tu mpaka leo
upogo jaman miss u much my diaHahahaa we wahaya hujawazoea tu mpaka leo
Ndio, mbona kama unashangaa? Balance sheet yangu ina dependant kadhaa.
Hahahaa we wahaya hujawazoea tu mpaka leo
Na wewe ni mfuata mkumbo wa vitimbakwiri? Mimi siyo muhaya nawajuwa Wahaya watatu tu hapa JF,
1. Maxence Melo
2. Jamal Malinzi
3. Rutashoborwa