Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
- Thread starter
-
- #61
Wadada wa cku hizi na waume za watu...hatari.
Kwa raha zetu......mume wa mtu anajua kutunza na kujari babu weyee ...(.kiding)
Mmmmhhhhh....n
hahah asiwe mbana pochi team no free p wewe
Qn.9 Umewahi kutomtendea
mwanume haki? Yaani anakutreat
vizuri we unamfaya bwelegeje? Any
regrets?
Hahahaaaa! Taratibu jamani, kuna moderator anakaa nje ya nchi huko kama Bundi, halaliiiiii! Kazi yake kututafuta ubaya tuuu! Hapa tunamkereketa si utani, anasubiri apate chance tu la kuufunga huu uzi! Hahaaaaa!
Kilichokugunishaaa?????
kuna maswali na majibu humu, mmmh!!!
kuna maswali na majibu humu, mmmh!!!
Hahahaa kibwagizo tu wala sina jipya
Humu kuna mapya chukua daftari na kalamu uchukue points
hahahhaa hivi wanaume wa aina yake bado wapo kweli? angelita Qn 11. Unafikiri nini wanaume
wanakosea kupeleke mda mwingine
wasipate royal treatment kwa wadada
na kufanywa mabozo, just friends na
issue kama hizo.
Mmmmh sidhani kama wapo siku hizi.
Uking'ang'anizi aiseeeh mdada kama kaamua kuwa na wewe/ kulala na wewe anakuwa kaamua, nakama hataki hataki kweli usimlazimishe akikataa mwishowe mwanaume wafanywa mbeba pochi.