nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
:llama::llama::llama::llama:Mume utampata wapi hapo umezalishwa watoto na bora wangekuwa na baba mmoja hahahahahahahaaaaa, chezea waume za watu.
Bibi la bibi usikate tamaaa mbona Natasha kapata wakumfuta machozi uzeeni, afu nakuomba usitubemendee waume zetu watarajiwa sie wa 20s.
Nyumba kubwa JF woman of the year 2014 wote tuseme ndioooooooo
Liwepo tu , chuki na unafki wa watu watatu au wawili usitunyime Uhuru humu...... Hayo mambo yapo kote kote ila kuna watu wapo tu kwenye denial period . ni kama walishawahi kuumwa na nyoka sasa wakiguswa na jani tu ishu.
Hahahaaaaaa... Na wasione kweli.
Nakumbuka nilikuwa na miaka 17 nilikuwa kidato cha nne(msitake kujifanya mapema). Kiwango changu kimekuwa kwa kiasi kikubwa sana, kadiri siku zinavyosonga najifunza na kuibua mambo mapya.
Lara1 acheni ugomvi bwana...sio kwamba kuna mshindi...we don want this to get any uglier....kihoja NK aliwashinda,ugomvi mmeshinda...haya u are all winners
MLIVOKUWA MNA MSULUBISHA ANGELITA SIO UGOMVI ULEEEEEEEE? Aaaaaaaaahhhhhh! Zile hoja tuuuuuuu eeeeeeeeeh! MKUKI KWA ANGELITA KWA WENGINE MCHUNGUUUUUUUUU!
Mtoto wa watu kajikaza sanaaaaa, toka juzi mnamtukana DOUBLE DOUBLE TOKA KILA UPANDE! MBONA HUKUSEMA SIO VIZURI KUMNYANYASA MTOTO TENA WAMEZIDI KARIBIA 20 YRS? ULIKUWA WAPI?
SAIVI ANAWAVUA NGUA WATU WAZIMA HAPA KWA SUPPORT YA WATU WALIOCHUKIZWA NDO MNALETA USULUHISHI EEEEEEEEH! Acheni kupendelea!
Likiwepo watu wanaeza wasijibu ukweli kuepuka attacks otherwise awe mtu anaeweza ku handle attacks zozote zile kama angelita..
Hot talk huwa zinakua siki gani nianze kufatilia
Jamani Angelita yaishe....punguzeni jazba...hii ni internet tu....yaani imekua all out war kabisa....yaishe jamani
Mdogo wangu huyu lara 1 ana miaka 50 halafu anajitia 30.
chezea real life uswazi at her age the only assets which she have is her laptop..
Halafu mdogo wangu una 23 una kiwanja kiromo na msingi juu mkoko ndo unaelea Indian ocean lazima grand maaa lara 1 ashinde online 2 days......
Huree mdogo wangu na miezi 3 midogo ongezea mwaka akufungulie na kampuni umuajiri first born wa lara1
Labda ukiwauliza wewe watakujibu...
wenzetu JF sijui wamejiunga kwa malengo yapi...
Mara party...mara najulikana...
Waulize labda leo watatujibu:llama:
Likiwepo watu wanaeza wasijibu ukweli kuepuka attacks otherwise awe mtu anaeweza ku handle attacks zozote zile kama angelita..
Hot talk huwa zinakua siki gani nianze kufatilia
Afu inabidi unipongeze mdogo wako miaka 3 bila kuzalishwa si mchezo.
Kweli mkuu ila kama ujuavyo kuwaridhisha binadamu wote kazi kweli kweli..... Hali ya hewa imechafuka ukiondoa page za mwanzo.aisee mi ndiyo naiona sasa hivi.. miss neddy na yeye kwa mambo ya kimya kimya hajambo..
real angelita kahendle hii kitu kwa uzuri kabisa..
japo sijaweza kufuatilia page zote
Wa kiumeni...hivi nyumba kubwa wewe ni wakike?
Mm ndo nimeiona leo kwa Mara ya kwanza , nasikia ijumaa.....Likiwepo watu wanaeza wasijibu ukweli kuepuka attacks otherwise awe mtu anaeweza ku handle attacks zozote zile kama angelita..
Hot talk huwa zinakua siki gani nianze kufatilia
:cool2::cool2::cool2::llama::llama::llama::flame::flame::flame: