LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
Sawa kabisa ulishafika 24/25 ni mda sahihi wakuwa na watu serious...
Umeshachuma visent vyako kiwanja unacho mkoko unaooo(wasitake kukua umevipataje lol) naaa una kazi yako aaaa kabisaaaa unapata single mwenzako mnaunganisha status mnakuwa engaged mna spend life kama kuoana sawa hata msipooana kuwa na mtu kujulikana wewe ni mmliki halali si mbaya....
Mimi nimekuelewa sana.....
Maisha haya ni target bana......
Na hakuna formula....japo watu wanalazimisha formula...
Jamani mumuache khaaaa kwani yeye ndo wakwanza??Haya "muuza P",taja kwa 3 years umepata nini na nini...haya tunaanza 1....2....3.....
Usije chekesha umma buree...hebu tuache haya jamani ni aibu ujue
Jamani mumuache khaaaa kwani yeye ndo wakwanza??
Ndio haijakaa poa ila si kufikia kumwambia hivyooooo.
Na kashasema atamuacha akisha acomplish her missions probably 3 months from now(nkipiga mahesabu kama gari kaagiziwa this week).
Dada Amu...huo ni uuzaji P.ussy one on one...kwanini hawakubali kwamba wanafanyabiashara kama wengine?...kwanini wanakua hypocritical ivo?Ukimuita "muuza k" anapaniki kinoma wakati ni true...m.aafaka man up,sell that coochie get money,yanini kujifaragua?
Jamani mumuache khaaaa kwani yeye ndo wakwanza??
Ndio haijakaa poa ila si kufikia kumwambia hivyooooo.
Na kashasema atamuacha akisha acomplish her missions probably 3 months from now(nkipiga mahesabu kama gari kaagiziwa this week).
Nasubiri ile gari iliyoagizwa itue na kadi niwe nayo mkononi ndo nimfungulie kamba, siwajua maisha nipe nikupe.
mbona jukwaa la kazi kuna dada na kaka zangu wana uhitaji hata ya kujitolea ungewapa wao hio opportunity
amu, hebu jaribu kumsimulia babu kinachoendelea hapa...lol!!
Huyu ndo ana uhitaji mkubwa wa kazi. Anawanyima watoto haki Yao ya msingi ya kuishi kwa kunyonya kidogo alichonacho huyo zoba. nyumba kubwa hebu mtafutie kazi, lakini kwa akili yale ilivyojaa maji atakataa kifanya kazi..!
Huyu ndo ana uhitaji mkubwa wa kazi. Anawanyima watoto haki Yao ya msingi ya kuishi kwa kunyonya kidogo alichonacho huyo zoba. nyumba kubwa hebu mtafutie kazi, lakini kwa akili yale ilivyojaa maji atakataa kifanya kazi..!
Kinachoendelea mwambie mtu mzima mwenzako asirudi hapa nyumba kubwa.
Maana nasikitika kuona anatukanwa na wadogo zangu.
Gari si utafute ya kwako kama wanawake wengine...mbona wenzako wanajituma wanapata hayo magari..? fanya kazi utafute ukikosa basi..unafikiri wewe ndo wa kwanza kuzaliwa maskini..?
Sasa hapo ndo unakosea kaliwa 3 yrs atoke kavu hapana kwa kweli tumvumilie tu apate gari na msingi wa nyumba keshaupata ataimalizia mwenywewe.Gari si utafute ya kwako kama wanawake wengine...mbona wenzako wanajituma wanapata hayo magari..? fanya kazi utafute ukikosa basi..unafikiri wewe ndo wa kwanza kuzaliwa maskini..?
Hot talk as you called it girl. No attack no harm. Mambo ya FREE COUNTRY yameingiaje hapo? SI ndio kiti moto hiki ama??kazi anayo serikalini kama ana nia ya kusaidia aende kwa wanaohitaji it is free country mwacheni na maisha yake
Ndugu ngoma ina yenyewe usijifanye mjuaji wenzako wengi wamejiweka pembeni wanasoma mchezo.
Tuliza kengere zako usitupigie kelele.
angelita...since umeruhusu maswali ya 'aina zote', kwa huduma unazopata toka kwa huyo zoba.....demand ya mchezo wa 'nyuma' ulimtimizia?..coz hadi kujengewa nna uhakika hawezi kubali utoke 'hivi hivi'...!
Kama anazo nyingi atakuwa amekisikia.Nadhani yeye ndo anaitaji iyo Kazi kukuza kipato chake kulea hao watoto wake wasio kuwa na baba.... Hahahahaaaa sasa najua kwann watu walikuja hapa kumbe ni waathirika wa hili janga hahahahaaaaa, mwambie aje na ID yake original hahahahaaaaa.