Ewaaaaaa ......Una miaka 23...tuombe uzima..baada ya miaka 7 njoo hapa utupe feedback ya maisha yako...
Hii nimeipenda sana ....Naona unavyotabasamu unapojipa moyo kuwa ndoa ya nyumba kubwa ni ndoano...endelea kuomba kwa shetani wako labda itakuwa hivyo...ila sidhani kama ana nguvu kuliko Mungu...
Una miaka 23...tuombe uzima..baada ya miaka 7 njoo hapa utupe feedback ya maisha yako...
Naona unavyotabasamu unapojipa moyo kuwa ndoa ya nyumba kubwa ni ndoano...endelea kuomba kwa shetani wako labda itakuwa hivyo...ila sidhani kama ana nguvu kuliko Mungu...
YOU HEARD!!!!!!!!!!!!!!! Make it stick :spit::spit::spit::spit::spit::spit::spit:
Hahaha humu mmu ni hoja tu hamna uadui asilani , labda uniambie mimi naishi tofauti haswaa au natumia kujiweka level sawa na wahanga.
Huwa nasimamia na ninachoamini na zaidi sipendi watu wanaoinflict hofu kupinga jambo.... Tena hofu yenyewe ni ya unknown haswaa , things like involving God kwenye sad endings/beautful endings/fairy tales.
Wolf wa nini sasa?Wa kupigwa P?Sasa ajabu ni kipi hapo?....sijaelewa proud ni ya kitu gani hapo sasa?
Naunga mkono hoja yako mkuu....halafu anajitia ni tough woman wakati anasubiri mke wa jamaa ampe hisani ya kumpa mume nae ashee...kumbe ni kadhaifu tu hakawezi jenga vitu vyake kenyewe...hawa keyboard ganstars bana
Unamlindaje mtu, kulinda nyumba tunaweka walinzi. Lkn hata kama hujaweka mlinzi haifanyi aliyeruka ukuta na kuiba gari au TV yako asiwe mwizi.
So mwizi wa mke wa mtu amefanya dhambi 6; ya kwanza KUTAMANI, ya pili KUTAMANI MKE ASIYE WAKE, ya tatu KUZINI na ya nne KUZINI NA MKE WA MTU na thru all that atakuwa AMESEMA UONGO na huenda KUUA pia (kwa contraceptives au kutoa mimba)
Anayefanya uasherati anakuwa amefanya dhambi 2 au pengine 3; KUTAMANI, KUFANYA NGONO kabla ya ndoa, na huenda lkn sio kwa kiwango kikubwa KUUA kwa kutoa mimba au kuchoma sindano za kuzuia kizygote kisiingie kwenye mji wa mimba
Hahaha...hata usikimbie mwaya hili ni jukwaa huruuuuu 😉
jf superstars hujui wapo..?Chaaaaaaa...kumbe humu kuna ufamous???hahahahaha hureeeeee...awards wanapata wapi???aiseee ustaa wa kistuldinyo vibompa...pongezi kwa mastaa wote wa humu I hop it pays their bills:sly::sly: in kermitz voice but that's none of my businesses🙄🙄🙄
kambales...mama hajulikani baba hajulikani....
Hahaha humu mmu ni hoja tu hamna uadui asilani , labda uniambie mimi naishi tofauti haswaa au natumia kujiweka level sawa na wahanga.
Huwa nasimamia na ninachoamini na zaidi sipendi watu wanaoinflict hofu kupinga jambo.... Tena hofu yenyewe ni ya unknown haswaa , things like involving God kwenye sad endings/beautful endings/fairy tales.
Hahahahaaaaaaaa ......
Hivi mkuu unatumiaga koka au pepusii??
Umenifuarahisha sana aiseee!
Baada ya hiyo miaka 7 siutakuwa umekuwa bibi???? Bado utaendelea kuwemo humu badala ya kulea wajukuu??????
Kila siku lara 1 anauliza humu mabibi above 40 iko wapi happy ending yenu yakujitunza mnakanyagana..
Embu nipumulishe mwana wa mwenzio.
I did not know PEOPLE WERE SUPPOSED TO LOVE PEOPLE FOR A REASON! I though people should love for no reasons!
AND THIS WAS SO MUCH FUN WHEN WE WERE TALKING ABT THE TOPIC MAYBE YOU SHOULD STICK TO THE TOPIC DONT YOU THINK?
Kabla hatujarudi kuhesabu idadi ya dhambi za zilizotendwa na za kufikirika naomba nijibu hiyo ishu ya ulinzi.
Kati ya angelita na mume ni nani anayepaswa kumlinda mke wa mume?
Je ni nani ana kiapo cha Mungu cha kumlinda mke?
Jibu hili maana naona ulikuwa unalikwepa kwa kulitolea maelezo marefu.
Baada ya hiyo miaka 7 siutakuwa umekuwa bibi???? Bado utaendelea kuwemo humu badala ya kulea wajukuu??????
Kila siku lara 1 anauliza humu mabibi above 40 iko wapi happy ending yenu yakujitunza mnakanyagana..
Embu nipumulishe mwana wa mwenzio.
lara 1 njoo unisaidie kujibu hapa mikono imevimba siunajua toka juzi nipo hapa.Ni kweli maana hata anaekwenda kuuwa nae anawaza pia na ana huo uhuru wa kuwaza hivyo
Ningependa kuujua huo msingi wako
Kimsingi mtu hujilinda mwenyewe
Na yoyote ambae anajisifia kwa kuchukua waume za watu ni wa hovyo pamoja na hao anaowachukua
Ukitaka sababu nitakupa!
Kabla hatujarudi kuhesabu idadi ya dhambi za zilizotendwa na za kufikirika naomba nijibu hiyo ishu ya ulinzi.
Kati ya angelita na mume ni nani anayepaswa kumlinda mke wa mume?
Je ni nani ana kiapo cha Mungu cha kumlinda mke?
Jibu hili maana naona ulikuwa unalikwepa kwa kulitolea maelezo marefu.
Mkuu, kwani honorable Matola amewowa? Na hichi ni ki concubine tu? Teeeh!!...there you go....no Matola as a back up this time..he ruined it and made me to go off topic.....
back to topic-find your man...a single one...not for the married guys....