Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Hahahaahahahaaaaaaa, nimecheka hadi hubby kashituka ikabidi nimuoneshe nayeye acheke.
You have done well , mengine yaliyojitokeza ni makadhalika ya binadamu kujiona bora zaidi ya wengine.
Sasa hapo mtu anaona kuzini na mtu single siyo dhambi Bali kuzini na mwenye ndoa ndiyo dhambi kweli kweli.
Tupa kule mengine hata huhitaji kujibu waache na unafiki wao.
Lara1 ulisema una umri wa miaka 30 eee?.....twende na practice ya bongo ladies ya kupunguza kma 2 yrz minimum..kwahiyo una miaka zaidi ya 32?..
Hahaha angelita huyo ameshakuwa hubby wako Mara hii......Labda nikuambie kitu kimoja siishi kwakutumia akili ya mtu mwingine, nafanya kile ambacho nakiona kwangu kina faida na akili yangu inanituma kukifanya.
Ninune kwakipi hasa hahahaaaaaa nafurahia jumapili yangu na watoto wa hubby sina shidaaaa.
hahaha..eti REPUBLICANS...umesahau katika house of representatives democats are210 and republicans 234... Nota bene
Ila tu ukumbuke wakati na muda utakapofika unapita kila kanisa na kwa kila mchungaji mitume na manabii ili uombewe kupata mume ukweli ni kwamba ulishakataa mwenyewe kuwa na mume wako kwenye umri muhafaka ukarukia ndoa za wengine hapo ndio utamiini kwamba Karma is a bitch.
Hahaha angelita huyo ameshakuwa hubby wako Mara hii......
Ukifanya hivyo unatuzibia nafasi ujue.....
Kaunga jukumu la kumlinda mke/mume ni la mwenye ndoa? au la hawara?Kuzini ni dhambi, na kuiba mume/ mke wa mtu ni dhambi pia. Mkifanya uasherati mnadhuru miili yenu tu lkn mtu akiiba mke wa mwingine anamdhulumu mume wa yule mke pia.
Kuzini ni dhambi, na kuiba mume/ mke wa mtu ni dhambi pia. Mkifanya uasherati mnadhuru miili yenu tu lkn mtu akiiba mke wa mwingine anamdhulumu mume wa yule mke pia.
Hahahaaaaaaaaaaaa! HIO INAITWA CHICKEN OOOOH DEAR!!!!!
lara 1 excempted....ana piss hata kwa somersault bila kudondekewa na tone la koj*.....
Usinione humu niko kihasara hasara...kila siku ni sara mashetani yako kila kona...
Juzi mwanangu wa 6 years alikuwa anaongoza sara mpaka nilitabasamu anamwomba Mungu amsaidie na mdogo wake wapate 100 mitihani yote...
Nikasema yes...nimefanikiwa kuwafanya watoto wajue kimbilio lao ni nani...
Hata nikiwa mbali..lazima tusali thru skype...
lara 1 excempted....ana piss hata kwa somersault bila kudondekewa na tone la koj*.....
mpaka ulambe miguu majority ndio mambo yapite.....hahahah hakuna 2/3 ya Sitta hapa...yakidi haitimii bila rep...who rules the us AGAIN? Anhaaaaaaaaaaaa! Thats what im talking about ENEMY!
make it 40yrs IF IT WILL MAKE YOU SLEEP AT NIGHT!
hahaha i understand too dokta una mambo lol
Hebu niachie Lara 1 wangu she is special one to me. Fullstop.
Hahaha dah! Ukiongea na watu unajua mengi sana.... Maajabu hayaishi jf!
Hivi huwa mimi na wewe si tunapingana sana?