Hainikeri na wala sina sababu ya kuweweseka sababu huyo si mume wangu na hawezi kuwa mume wangu....siwezi kuwa na mume irresponsible kama huyo...
Na comment humu kwa kuwa kuna wanaotamani maisha yako...na wanasoma huu uzi kimya kimya...nataka kuwaonyesha kuwa huu si ujanja...
Najua wewe sina uwezo wa kukubadili...sababu kwa majibu ya comments zako inaonyesha umeshafanya maamuzi na uwezi geuka nyuma...
Hahahahaaaaaa..... Wenzio walisema na bado wanasema na waume zao bado wapo na vimada kwenye viti virefu wakitoka hapo wanaenda kustareheka akichelewa kurudi kwake saa2 usiku mke anasikia raha dadeki.
Mama tulia ulee wanao ushauri peleka kwa ndugu zako watakushukuru sana. Hapa tuliza mshono wako usije kuachia.
Tunalitambua hilo ndomana tukaileta hapa watu kama wewe mtokwe mapovu.
Nyie endeleni kuongea na kubishana hapa, mwenzenu bwana ninaye pembeni namkuna kidevu, hapa tunasubiri watoto wamalize kusuka tuwapeleke kula ice cream chezea mama mdogo wewe.
Huyu tushamzoea...mpinga ndoa...
Angelita ni dada mzuri tu sema umechagua kua plan B ya huyo jamaa,kwahiyo u will always be number 2 kwenye hiyo love triangle...infact upo sahihi,umechagua unachokitaka,basi suck it up small soldier!
Hahahahaaaaaa..... Wenzio walisema na bado wanasema na waume zao bado wapo na vimada kwenye viti virefu wakitoka hapo wanaenda kustareheka akichelewa kurudi kwake saa2 usiku mke anasikia raha dadeki.
Mama tulia ulee wanao ushauri peleka kwa ndugu zako watakushukuru sana. Hapa tuliza mshono wako usije kuachia.
Zamani tulikuwa tunazuiwa na wazazi kujichanganya na watoto walioshindikana,
SIku hizi mtoto anaweza kuharibika hata bila kutoka getini...anachohitaji ni simu tu yenye uwezo wa kukamata internet...
Wazazi inabidi na sie tuangalie utaratibu wa kulea kidigitali....
Humu wanazuia kutumia abusive language tu...
Hivyo ngoja nikujibu...
Ni kweli huwa sipendi kuzijibu comments zako...sababu naona wazi una try so hard kupinga kila niandikacho...
Mtu anayechukulia comments zangu too personal huwa nakaa nae mbali...
Maana mi si wale wanaotumia lugha chafu mitandaoni...na hapa na past time tu siko kibaruani kwa nini nijipe pressure...
Hot talk , if you understand what am talking about... Ha ha ha
Mimi likizo nimemuingiza charismatic so fellowship kibao, jioni anatafuta somo la usiku na kutuchambulia. Simu no access maana the world is so scary.
If that makes you happy...
Lakini comments zangu zooooooote umesoma...na nina hakika asilimia 3000 unazifanyia kazi...
Kama nakuona vile ulivyonuna...
Usijali...ukweli siku zote unauma..utazoea tu...yatapita..kuna na kesho...
hahahahh.....huyo mkeo ni shidah...ndoa yenu wote sharubu kama kambale....
shida ipo kubwaaaaa! angelita ndo mgeni rasmi, and THE GIRL OF THE MATCH, so YOU CAN HAVE THE SEAT AT THE VERY BACK CONNER:spit::spit::spit::spit::spit:
SITI ZA MBELE ZINA WENYEWE DEMOCRATS angelita, lara 1, Manka M, ASKutasame, NA WENGINEO MAKAMANDA. REPUBLICAN kuna nyumba kubwa, Tyta mikono itakuwa imemvimba toka janaaa Hahahaaaa, Matola, Diva Beyonce, ETC. kATIKATI KUNA kina bi ubuyu HUKU WAMO, KULE WAMO, hapo unamkuta Tumboo, HOE, ETC.
so ONLY THE CONNER SEAT AT THE VERY BACK IS LEFT! HAVE FUN!:A S wink::A S wink::A S wink:
Hahaha..av always been a backbencher since kg so am honoured to be placed in the back....vilaza na andunjes ndo walikuwa wanakaa mbele....mie mtoto nimepanda hewani mbele kwa nini si ntawaziba nyie vidumpa hahahahah...niko zangu nyuma toka ijumaaa na sidaiwi na mtu labda ka una lingine???🙄🙄
Labda nikuambie kitu kimoja siishi kwakutumia akili ya mtu mwingine, nafanya kile ambacho nakiona kwangu kina faida na akili yangu inanituma kukifanya.
Ninune kwakipi hasa hahahaaaaaa nafurahia jumapili yangu na watoto wa hubby sina shidaaaa.
Unaniongelea Mimi?
Kwa maana pale umequote reply ya mtu aliyonijibu mimi , ni vizuri ukawa muwazi.... Kwani mtu akikuona wa nini wewe inabidi umuone wa kazi gani.....
Nasubiria majibu.
shida ipo kubwaaaaa! angelita ndo mgeni rasmi, and THE GIRL OF THE MATCH, so YOU CAN HAVE THE SEAT AT THE VERY BACK CONNER:spit::spit::spit::spit::spit:
SITI ZA MBELE ZINA WENYEWE DEMOCRATS angelita, lara 1, Manka M, ASKutasame, NA WENGINEO MAKAMANDA. REPUBLICAN kuna nyumba kubwa, Tyta mikono itakuwa imemvimba toka janaaa Hahahaaaa, Matola, Diva Beyonce, ETC. kATIKATI KUNA kina bi ubuyu HUKU WAMO, KULE WAMO, hapo unamkuta Tumboo, HOE, ETC.
so ONLY THE CONNER SEAT AT THE VERY BACK IS LEFT! HAVE FUN!:A S wink::A S wink::A S wink:
Lara1 ulisema una umri wa miaka 30 eee?.....twende na practice ya bongo ladies ya kupunguza kma 2 yrz minimum..kwahiyo una miaka zaidi ya 32?..