MMU hot talk

Hahahaaaa! K LYN NDOA IMEKUBALIJEEEEEE! Ji birthday la juzi mliiona? Aaaaaaaah! Acha kabisaaaa! MUME WA MTU MAZIWA ANGEKUWA ANASUGUA SUFURIA LABDA MDA HUU! Hahaaaaaa! Ukimpata mtumie, ukimkosa jutia! Halooooooooo!
 
Hahahaaaaaaaaaa! Dude you havent bitten shit! All you have been doin is PREACHIN AND WHINING LIKE A LITTLE GIRL!

A LEOPARD CAN NEVER CHANGE ITS SPOTS NO MATTER HOW MANY TIMES IT TAKES BATH!

Damn...I aint complain. ...may be you r trippin

U r no damn leopard. ..just a wanna be..
 
Kuna wanawake wajinga na washamba sana bongo hapo...na kuna mademu wenzao wanawafuata wanaona ni ujanja..wanawake dunia nyingine wametake over wanafanya mambo makubwa wabongo wanabaki na maisha ya kuigiza.cc gorgeousmimi
 
Acha basi...Usiombe tu umwagiwe ndo utajuta....

Si Wildest Dream....inaweza kukutokea, kwa kuwa we ushakuwa nunda kuna nunda mwenzako arround the corner

silipatii picha hilo balaa lake siku yakikukuta....

YETU MAJICHO :wacko:

Hahaaaaaaa! TINDI KALI MTAISHIA KUIANDIKA HUMU HUMU! Mtaani tunawachukua waume zenu HATARIIIII, NA KUZAA NAO JUU, NA WATOTO TUNAKULETEA MDA MWINGINE ZAWADI YAKO HIYO LEA NA HUU MSALABA MWINGINE WA MUMEO! Hahahaaaaaaaaaa!

Mtaani waliozaa na waume za watu 100, aliemwagiwa tindika 0! WE HUSHANGAI TUNAOTA PEMBE KAMA HIVI! Hahahaaaa! Na bado!
 
Sikujua kumbe Machache ni mume wa mtu...

Na hao ndio role models wako...???

Tunaishi dunia tofauti..na hatutaweza kukubaliana ...

Hahahaaaa! K LYN NDOA IMEKUBALIJEEEEEE! Ji birthday la juzi mliiona? Aaaaaaaah! Acha kabisaaaa! MUME WA MTU MAZIWA ANGEKUWA ANASUGUA SUFURIA LABDA MDA HUU! Hahaaaaaa! Ukimpata mtumie, ukimkosa jutia! Halooooooooo!
 
Kuna wanawake wajinga na washamba sana bongo hapo...na kuna mademu wenzao wanawafuata wanaona ni ujanja..wanawake dunia nyingine wametake over wanafanya mambo makubwa wabongo wanabaki na maisha ya kuigiza.cc gorgeousmimi

Hahahaaaaa! Kwa kweli na hawa Bastards (perdon my lack for sense of humor) humumtaani nao ni maigizo! Maana wamezidi kweli saivi. Na hizi talaka pia itakuwa Telemundo! Hahaaaaa! Nilisahau na wadada wasio na kazi wala issue mjini wanaishi kwa hisani ya MUME WA MTU MAZIWA nao watakuwa main character! Jamani tunaishi jamii moja mjue!
 
we utakuwa ulichelewa sana kuja
Nimechelewa kuja kwenye mtanange ni kweli mimi nimeingia muda si mrefu lakini nimeona tokea ukurasa wa kwanza watu walishaanza kuchakachua tokea jana
 
Nlishasema hapa kuna badhi ya wanawake wa hapo bongo USHAMBA, AKILI ndogo(hasa ya kucopy) na kukosa MALENGO kwenye maisha kunawamaliza..yaani unaweza kuona mtu anavyooigiza mpaka inatia kinyaa..
 
Te te te...tume comment kwa wakati mmoja tukiwa na same views...

Nina watoto wa kiume tu...nafikiria ningekuwa na wa kike ni jinsi gani ningekuwa na kazi ya ziada kuwaepusha na bad influence...

Japo wa kiume nao wana changamoto zao...ila wa kike kwa sasa wanaishi na majaribu sana...hasa na hao so called successful ladies...aka 'role models...'

Peer pressure inawasumbua watu sana. Kama mtu fulani ni role model wako na upstairs yupo #%*$ na kama ana ushawishi wa kitoto...anawachota wengi. Most especially under 25. Be your own role model.
 
Sikujua kumbe Machache ni mume wa mtu...

Na hao ndio role models wako...???

Tunaishi dunia tofauti..na hatutaweza kukubaliana ...

Hahahaaaa! Mi naishi nitakavo mimi sina ole model, umemtaja Aunty nikakumbusha tu kuna Klyn!

YES ACHACHE MUME WA MTU, TENA KKT KUNA NAKALA YA CHETI CHAKE CHA NDOA YA 1, NA BOMANI IKO NAKALA YA NDOA YA 2! any more questions?
 
Sasa essay yote hii ya nini....justifying by hooks and crooks?
 
Damn...I aint complain. ...may be you r trippin

U r no damn leopard. ..just a wanna be..

Hahahahaaaaaaaaa! WHATEVER KNOCK YOUR SELF OUT! Ila kaa ukijua MUME WA MTU MAZIWA! Na wataliwa sanaaaaa! IEither i be a wanna be or not, NIMEZALIWA NIMEKUTA WANALIWA, HATA NIKAACHA WATAENDELEA KULIWA KAMA ILIVO ITIFAKI, AND THERE IS NOTHING THAT CAN BE DONE! ABSOLUTEL NOTHING!
 
Kuna wanawake wajinga na washamba sana bongo hapo...na kuna mademu wenzao wanawafuata wanaona ni ujanja..wanawake dunia nyingine wametake over wanafanya mambo makubwa wabongo wanabaki na maisha ya kuigiza.cc gorgeousmimi

Waache waige za kuambiwa changanya na zako once ukiiga life style la mtu lazima ile kwako bongo ni virse versa kuigana vitu visivo na maana
 
Ni tatizo hasa kwa vijana wa kike wa umri mdogo. Vitu kama hivi wanashawishika kirahiai. Akiambiwa mwenzake anatoka na mume wa mtu ni rahisi kushawishika na akiona kweli mwenzake chuoni ana maisha mazuri anakitoa ufahamu na kuanza tabia chafu.
 
Sasa essay yote hii ya nini....justifying by hooks and crooks?

Hahahaaaaa! NDO MAISHA NA VITU VINATOKEA SANAAAAAA! Kwenye familia kuna watoto kibao wa nje, wanalelewa pale, everybody keeps their mouth shut, kilamtu ana turn a blind eye, bi wakubwa wana ufyataaaaaaa kimyaaa hakuna cha tindikali wala tindi pole, na zigo la ulezi juuuu, mwenzie miguu juu au anaolewa kwingine anakuachia zgo huku nyuma! Hahahaaaa!

Na mambo ya kuchunwa waume za watu yapo sanaaaaaaaaaa. Ni kama kunywa chai tu, sio jambo la kustusha, mambo ya mtu anamuacha huyu anamuoa huyu pia yapo vile vile, mke wa kwanza anamshika bi mdogo uchawi weeee lakini ndo ashafungashiwa virago tenaaa! BOTTOM LINE IS TUKUBALI TUKATAE MAMBO HAYA YAPO ENZI NA ENZI, HATA ANGELITA AKIACHA HAIBADILISHI CHOCHOTE!

WIVES SHOULD TAKE A CHILL PILL!
 
Thats what im talkin.. hao wasio na kazi na nini..lakini anataka maisha ya maigizo kama akina kim k..hapo ndo mambo kama hayo yanakuja sasa..ukichanganya USHAMBA na UDOGO wa AKILI ya MAISHA(born with wisdom) unapata product ya kijinga sana..
by the way wewe lara 1 hatuwezi kufika mwafaka maana tangu siku ya kwanza unapost hapa jf tuliongea haya mambo, so i know how u think about life sishangai remember Dr.Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…