Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Sio kila mgeni umkaribishe. Ona sasa huyu anajiita jembe sijui anataka kumlima nani
Na wewe mbona unazeeka ukiwa kijana? Hujui jembe shurti liingizwe mpini??
Sio kila mgeni umkaribishe. Ona sasa huyu anajiita jembe sijui anataka kumlima nani
amefuata nini huku wakati wenzie wako shule...?Ndo under 20
duuu...mie ndukiii. Naogopa ushahidi.
unasemaa....!!!?Hebu mtake radhi my wife kabla sijabadilika..
Hebu mtake radhi my wife kabla sijabadilika..
jamani mambo gani sasa haya
ya kuchezeana hisia? mtoto mrembo kabisa mango
g kampenda bazazi Jipu! ona sasa
kamtenda!!! Window7 nae naona antivirus hana
kabisa! mi naona nitumie ubuntu bana!
J.lee umeona uchumba ulivyovunjikia stesheni?
yani hata safari haijaanza jamani!
kikongwe Asprin njoo uteme nasaha zako! afu
uache uswahili hapaa.. hatutaki maneno ya kenye kanga!!!