MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Nasubiri mkate tamaa na mimi niendelee nilipoishia kwa Diha.
Diha twende kanisani au mskitini tukakeshe?
 
2likua calabash n babu.

Afadhali yako shemejii.. Under 20 jana kagoma kutoka hapa nabembeleza leo twende hata pale kwa Kinyaiya ili akizidiwa na vinywaji tulale pale Landmark..:smile-big:
 
Afadhali yako shemejii.. Under 20 jana kagoma kutoka hapa nabembeleza leo twende hata pale kwa Kinyaiya ili akizidiwa na vinywaji tulale pale Landmark..:smile-big:

ckutaki chapombe jaman
 
nipe 7bu 10 za kukupenda chapombe ww

1. Jina langu linavutia
2. Laki kwangu si pesa
3. Nakupenda kikweli sio kama Jipu anakutamani
4. Sio mlevi
5. Naongoza kwa kukupa like hapa Jf.
6. Siri za chumbani sizileti hapa kama J.lee
7. Sihitaji catalyst ya nguvu za...
8. Nakujali
.......... Ngja nitarudi kuongeza mbili
 
Last edited by a moderator:

shemej unanidis utaona naenda kukuharibia PM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom