MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

Ujio wa under 20 mango g umeleta competition kubwa sana kwa vijana hapa MMU. Kilichonistua hata mkongwe kama Asprin nae anakanyatia haka ka binti kenye swarga za ha. Yaani dia kanaita diha mwe!

Hawa hapa wametanagaza nia mpaka sasa:

alphonce.NET


lilie
ndio

victoria
wa happy

Shamkware


Jipu


Polisi jamii
nae ameshindwa kuficha hisia zake kwa under 20.

Dea
ta ndio kabisa mpaka chozi linamtoka kwa under 20.

Bila kumsahau
Prince Akeem nae katoroka Zamunda kafuata under 20 bongo.

Nimesikitika kuona mdogo wangu Excel amekua mshauri badala yakuchukua fursa.

Heshima kwa Mchungaji Eiyer , Swts na miss neddy kwakumpa ushauri mwema lakini tafadhali hapa kwenye bet mmuachie mwenyewe achague papaa lakumlea.Si unajua Jamii forums party second version iko arround.

Ninachokuomba dia mango g njoo ututajie nani atakufaa kati yetu.

Usisahau hata mimi Window7 nimetangaza nia.


________________________________________


Updates
29/01/2018
===>>

Binti mrembo mango g amekubali kua wangu.. Natangaza rasmi she's mine.

Wale Bachelors endeleeeni kukamata fursa kwa wengine kupitia uzi huu watoto wazuri wapo wengi MMU kikubwa achia pochi tu pm.
Duuuuuhh uzi wa mwaka 2014 ndio ulipotangaza nia, na mrejesho wa kumpata mtt mango_g umeleta tar 29 january 2018 sipati picha ulikuwa wangapi kabla hujakubaliwa
 
Duuuuuhh uzi wa mwaka 2014 ndio ulipotangaza nia, na mrejesho wa kumpata mtt mango_g umeleta tar 29 january 2018 sipati picha ulikuwa wangapi kabla hujakubaliwa
Ha Ha Nilianza Mie Kumiliki Mwaka Huu Ndo Nimemuachia
 
Back
Top Bottom