MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

haa!! kwani mi kumkaribisha neggirl kwa mioyo miwili kuna ubaya?

jamani watu weshaanza kuhisi kwamba ni mpenzi wangu! dah.. ila inaweza ikawezekana!

neggirl njoo huku kuna mtu kajimilikisha wewe.
 
Last edited by a moderator:
Asante best ila nisije pigwa tu na wahusika

aaah! ukiwa na mimi jihisi kama uko zaidi ya nyumbani! more than eden garden, usalama upo always!

we ruka tu kwa bedi ule kichuri kwa raha zako!
 
aaah! ukiwa na mimi jihisi kama uko zaidi ya nyumbani! more than eden garden, usalama upo always!

we ruka tu kwa bedi ule kichuri kwa raha zako!

Basi sauwa nisubiri naja, nije without au?
 
Back
Top Bottom