MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

mh!nakupenda pia Asprin wangu jaman nawe ulale salama ila hyo ***** mh!ngastuka maana we nae una mambo.

Hahah wewe bana. We wajua kbs siezi kukufanyia unaa. Au nlipaswa kuandika "mama eh" ndo ungeelewa nlikuwa nakuchombeza? Haya amka mpenzi tukaoge, muda wa kumtumikia mkoloni umekaribia. Na haya mafóleni.... damn!!

Leo utapiga pamba gani? Usipendeze sana bhana, mi nna wivu mpaka kwa kaka zako.
 
Last edited by a moderator:
Asprin na Window7 nimeamua kuwaachia mtoto mango g nimepata toto lengine ni balaa

jamani mambo gani sasa haya ya kuchezeana hisia? mtoto mrembo kabisa mango g kampenda bazazi Jipu! ona sasa kamtenda!!! Window7 nae naona antivirus hana kabisa! mi naona nitumie ubuntu bana!
J.lee umeona uchumba ulivyovunjikia stesheni? yani hata safari haijaanza jamani!

kikongwe Asprin njoo uteme nasaha zako! afu uache uswahili hapaa.. hatutaki maneno ya kenye kanga!!!
 
Last edited by a moderator:
jamani mambo gani sasa haya ya kuchezeana hisia? Mtoto mrembo kabisa mango g kampenda bazazi jipu! Ona sasa kamtenda!!! window7 nae naona antivirus hana kabisa! Mi naona nitumie ubuntu bana!
j.lee umeona uchumba ulivyovunjikia stesheni? Yani hata safari haijaanza jamani!

Kikongwe asprin njoo uteme nasaha zako! Afu uache uswahili hapaa.. Hatutaki maneno ya kenye kanga!!!

tatizo nyie ndo mmeniharibia mtoto huyu na mimi kugombania sitaki nisije chapiwa NA @Mr Verossa wa lara 1
 
Last edited by a moderator:
Jipu si uliniahidi hutarusha taulo? ni nini hii?

khaaaaa! wazee wa humu hawafai kisa wameona mie kijana mbichi basi wamemuonesha fedha za mafao basi mtoto mpaka muda huu hana direction wapi aende namimi ndo naogopa siri ya ndani
 
Last edited by a moderator:
khaaaaa! wazee wa humu hawafai kisa wameona mie kijana mbichi basi wamemuonesha fedha za mafao basi mtoto mpaka muda huu hana direction wapi aende namimi ndo naogopa siri ya ndani

kwan kuchapiwa manake nn
 
windo ukinikalia kimya asubuhi hii ndo ntaamin hunipendi

Sorry hunie wangu ntoto nchanga kabisa. Asubuhi nilikua kazini diha. Njoo basi pm unipetipeti hapa watakula chabo.
 
khaaaaa! wazee wa humu hawafai kisa wameona mie kijana mbichi basi wamemuonesha fedha za mafao basi mtoto mpaka muda huu hana direction wapi aende namimi ndo naogopa siri ya ndani

Mbona mtoto yuko kwangu.
 
Back
Top Bottom