excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Hodii mmooooo humu jamani
post yako ya kwanza imedondokea humu kwa mabazazi! mmh. mimi sio bazazi lakini!
karibu kilingeni!
Hodii mmooooo humu jamani
Naomba help kiweka picture kwenye profile nashindwa I need help guys!
hodii mmooooo humu jamani
hili jibu hata mimi nalisubiri
tuambieni na sis tujue
mwanaume wa shoka au jembe! Mwanamke atajiita jembe!
Mwanaume wa shoka au jembe! Mwanamke atajiita jembe!
Ha ha ha!!!! Itabidi tufanye mpango huo, kwani na wewe ni under 20? Miye mwenzio napendaga over 35
Sio kila mgeni umkaribishe. Ona sasa huyu anajiita jembe sijui anataka kumlima nani
Ndo vizuri sharing is good tutakuwa tunasaidiana majukumu