Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,109
- 3,054
- Thread starter
- #281
jamani mambo gani sasa haya ya kuchezeana hisia? mtoto mrembo kabisa mango g kampenda bazazi Jipu! ona sasa kamtenda!!! Window7 nae naona antivirus hana kabisa! mi naona nitumie ubuntu bana!
J.lee umeona uchumba ulivyovunjikia stesheni? yani hata safari haijaanza jamani!
kikongwe Asprin njoo uteme nasaha zako! afu uache uswahili hapaa.. hatutaki maneno ya kenye kanga!!!
Hebu wafikishie ujumbe. Waambie mtoto katulia kwangu.
Cc mango g
Last edited by a moderator: