Mambo ya ofis diha. Ila leo nataraji kukesha na wewe si unajua wkend imeanza.!! Au wasemaje my mtima
Dah. Bebi jitahidi twende ukapate hata ka kesto lite ili nikuone ukirembua..
jaman diha mbna upo ka haupo lakin!
we nae unazingua bana! mi
sijamindi ulivyofanya wala nini! hiki kibabu kimekwangua wangapi bana
halafu na wewe unajipeleka? ina maana hao vijana wenzio unaowaruka wana
nini?
umeniboa bana!!
za mahangaiko shogangu?
Ni fursa juu ya fursa shemeji. Leo wap shemeji na babu.