Thanks best hicho kichuri ndo chakula gani tena?
kind of chit chat eee
au nimekosea njia!!
Besti kichuri ni chakula kimoja classic sana!
hicho unakila kama tunda hivi baada ya kupata heavy meal! its vere vere switie!
Hata me naona mtoto katua kwangu huyu. Ukiweza kumshawishi atangaze ndoa nitakuandalia zawadi unono bestisho.