MMU all Stars

Nimefanya utafiti members wengi kwenye Jukwaa la MMU, wana msongo wa mawazo wengi wao wameachwa na wapenzi wao!
Ndio wanaamua kujifariji na kujiliwaza huko na 25% wana mahusiano ya kimapenzi.
Hongereni sana Ma All Stars wa MMU

hiyo 25% umepata wapi??

Nimefanya utafiti members wengi kwenye Jukwaa la MMU, wana msongo wa mawazo wengi wao wameachwa na wapenzi wao!
Ndio wanaamua kujifariji na kujiliwaza huko na 25% wana mahusiano ya kimapenzi.
Hongereni sana Ma All Stars wa MMU
Kama ni hivyo hongera kwa utafiti wako.Uliwashirikisha Synovate?

Nimefanya utafiti members wengi kwenye Jukwaa la MMU, wana msongo wa mawazo wengi wao wameachwa na wapenzi wao!

Ndio wanaamua kujifariji na kujiliwaza huko na 25% wana mahusiano ya kimapenzi.

Hongereni sana Ma All Stars wa MMU

hakyanani kuna watu mna kipaji km cha sheikh yahya...... Hivi ulijuaje kuwa nakutafunia? Au huijui ID ya mtu wako? Pole...... Naye yumo kwenye hiyo 25%

he!!.....

Ha ha ha ha ha umemaliza kila kitu Babu.....................nikiongeza nitaharibu

hakyanani kuna watu mna kipaji km cha sheikh yahya...... Hivi ulijuaje kuwa nakutafunia? Au huijui id ya mtu wako? Pole...... Naye yumo kwenye hiyo 25%
sawa kabisa mkuu,watu wengine acha tu.

we ushije nianzishia za AshaDii Na FF..
Balaa staki... nimemjibu Uporoto kwa utani...
usiingilie usicho kijua...
Hamna utani hapo ni kweli kabiiiiisa umejibu post kwa kujiamini loooo
jf kuna mambo, mi ID mingi ya nini?

Similar Discussions

Back
Top Bottom