Wakuu,yule jamaa aliepigwa risasi wiki hii hapa Dsm maeneo ya Tegeta,inasemekana ni usalama wa taifa!
Huyu jamaa alipigwa risasi 3 kifuani na watu wasiojulikana wakati anaingia Gerage na hakuporwa kitu chochote (itv habar Ijumaa) .Kwa habar nlizopata,huyu jamaa alikua usalama wa taifa hadi mauti yanamkuta.
Huyu mtu ni mkazi wa Moshi-majengo-miembeni karibu na baa iitwayo MotherLand! Mwenye ripoti zaidi atupe au ntakuja tena baadae.
Source: jamaangu yuko Moshi .