Kwa Mujibu wa ITV kipindi cha Hapa na Pale saa 12 leo jioni. Amepigwa risasi na watu wawili waliokimbia na boda boda.
Mtangazaji kasema ni mtu kutoka taasisi nyeti serikalini kutokana na kitambulisho chake mashuhuda walichokiona.
huu uhalifu wa kutumia boda boda naona unaonekana kuota mizizi sasa. vyombo vya dola vijipange kisawasawa. wale askari maarufu tigo wanawajibika ipasavyo?
hana jina huyo mtu?? au ni siri??
Hivi waziri mkuu aliagiza watu wapigwe mabomu, mijeledi, mateke ama risasi? Manake inawezekana hakueleweka vizuri
Dar er salaam mda siyo mrefu itakuwa siyo sehemu salama ya kuishi. Umafia unazidi kuongezeka
Hivi waziri mkuu aliagiza watu wapigwe mabomu, mijeledi, mateke ama risasi? Manake inawezekana hakueleweka vizuri
Hivi waziri mkuu aliagiza
watu wapigwe mabomu, mijeledi, mateke ama risasi? Manake inawezekana
hakueleweka vizuri
Wamemtaja sijui mrutu?
Labda ni mmoja ya anayedhaniwa kuvujisha habari kwa CDM, wameamua kumshughulikia. Mwigulu or his family Next