TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
Dar er salaam mda siyo mrefu itakuwa siyo sehemu salama ya kuishi. Umafia unazidi kuongezeka
ur wrong......its no longer safe.
Dar er salaam mda siyo mrefu itakuwa siyo sehemu salama ya kuishi. Umafia unazidi kuongezeka
.....aisee hivi Taasisi nyeti Serikalini ndo ipi hiyo!!!!!!!!!!!!,Kwa Mujibu wa ITV kipindi cha Hapa na Pale saa 12 leo jioni. Amepigwa risasi na watu wawili waliokimbia na boda boda.
Mtangazaji kasema ni mtu kutoka taasisi nyeti serikalini kutokana na kitambulisho chake mashuhuda walichokiona.
Anaitwa Shaban Mrutu.
Source.ITV habari ya 2 usiku.
jk alisem Nchi hiko salama
Sasa wanaficha nini? Idara nyeti maana yake Usalama wa Taifa?
huu uhalifu wa kutumia boda boda naona unaonekana kuota mizizi sasa. vyombo vya dola vijipange kisawasawa. wale askari maarufu tigo wanawajibika ipasavyo?
Dah! washaanza kuuana...
anyway TISS ndivyo ilivyo...
Hapana, CCM walizani ni mmoja ya wavujishaji habari nyeti kwa CDMWang'oa kucha nao yanawapata sasa eeh? Majanga!