Mmoja auawa kwa risasi huko Tegeta

Mmoja auawa kwa risasi huko Tegeta

Wakuu,yule jamaa aliepigwa risasi wiki hii hapa Dsm maeneo ya Tegeta,inasemekana ni usalama wa taifa!
Huyu jamaa alipigwa risasi 3 kifuani na watu wasiojulikana wakati anaingia Gerage na hakuporwa kitu chochote (itv habar Ijumaa) .Kwa habar nlizopata,huyu jamaa alikua usalama wa taifa hadi mauti yanamkuta.
Huyu mtu ni mkazi wa Moshi-majengo-miembeni karibu na baa iitwayo MotherLand! Mwenye ripoti zaidi atupe au ntakuja tena baadae.
Source: jamaangu yuko Moshi .
ungemaliza tu kabisa kwa kumuuliza huyo jamaa yako.
 
kwa taarifa za pale tegeta nasikia walio mpiga jamaa risasi wakati wanakimbiwa wariharibikiwa na pikipiki yao na wakashuka wakawa wanatengeneza walivyo ona watu wanasogea wakapiga risasi watu wakakimbia mpaka na trafiki aliyekuwa maeneo yale akala kona mbaya..jamaa wakafanikiwa kutengenza pikipiki na wakaanza safari tena
 
inawezekana watu hao wanamfahamu vizuri na walikuwa na deal moja iwaje wajibishane na kum shoot
 
Ni nani huyo mtu nyeti?
Kama ni wa Tiss sometimes hao wanauwana wenyewe kwa wenyewe, eti kwa sababu za kiusalama!

Mkuu kweli ni jamaa wa TISS anaitwa Shaban Mrutu na aliuawa na WENYEWE, anazikwa kesho UCHIRA MS
 
Unajua kuna wazalendo wanaoaniaka maovu ya ccm na TISS labda wameanza kuwauwa...

Hapa kuna jambo mkuu, jamaa alisoma mpaka URUSI, ila waliomuua walitimiza matakwa ya wakuu. Nawaonea huruma wakeze wawili na watoto.
 
I really dont understand some things! Why killing each other?
 
Aisee kwa hiyo ukiviujisha kwa cdm unalo. Ukitaka kuzunguka ujichukulie sehemu ya miradi ile ya bigwa au kwa kuwa inafikia ukingoni basi unalo kubwa kabisa. Wa Millenium Bagamoyo mkae Chonjo.
 
Back
Top Bottom