Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Kwa Mujibu wa ITV kipindi cha Hapa na Pale saa 12 leo jioni. Amepigwa risasi na watu wawili waliokimbia na boda boda.
Mtangazaji kasema ni mtu kutoka taasisi nyeti serikalini kutokana na kitambulisho chake mashuhuda walichokiona.
Mwanaume mmoja ambaye hakujulikana jina lake mara moja, muda mfupi uliopita ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wauaji ni wanaume wawili waliokuwa katika pikipiki maarufu kama 'Bodaboda'.
Marehemu alikuwa akishuka katika gari lake aina ya Toyota Mark II yenye namba za usajili T 508 ADY ndipo alipopigwa risasi kadhaa.
Global Publishers

==============
UPDATE: