imma.one
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 542
- 37
Kuja kwa technologia kila mmoja kumemshika kivyake na kuna baadhi ya mambo watu hatuwezi kabisa kuacha au kwa mara ya kwanza yalituchanganya.
Mimi mara ya kwanza natumia choo cha kukaa tangu naanza kutumia hadi leo siwez kukaa maana nahc kama naji.....
kwakweli hadi kesho kwa choo kile nitapanda na viatu tu.
Haya kuja kwa hivi vipya vipya wewe umeguswa na kipi?
Je umeacha au hadi leo unaendelea?